britanicca
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 15,636
- 30,004
Ilikuwa Tupate draw tu ya bila kufungana au tuwafunge cape verde mwaka 2009 kwa kufuzu AFCON 2010,
Ilikuwa dakika ya 86" nahodha Shedrack Nsajigwa Fuso, akafunga goli Tamu sana, tukashangilia nchi nzima enzi za Macio Maximo,
Nsajigwa alikuwa bado yuko nje anafunga uzi za viatu maana kwenye kushangilia kilichomoka goli likawa limerudi na stars kutupwa nje, maana sare ya moja kwa moja ilikuwa tunatupwa nje,
Tokea muda huo nili sema sitapoteza muda wangu,
Ninatamani hata hizo 50,000 zirudi zikanunue korosho