Wendawazimu wadogo wamefanya kile tulichokitarajia

nzagambadume

JF-Expert Member
Apr 9, 2018
2,430
5,769
ni wale vichwa vya wendawazimu wa under 23 wamefanya kile tulichokirajia wakifata nyayo za wendawazimu wazoefu waliofungwa majuzi
Haya mmeshatoka sasa kalaleni huko na makelele yenu ya kupindua meza,shwaini kabisa
 
ila mkuu msiwahukumu vijana wamejitahidi sana na pia wale wakubwa ndio wanapewa kila kitu mpk nje wanapelekwa kwa mazoezi

Wamejitahidi wapi ndugu ni ujinga mtupu ule, kuna kuna muda unaona kama ni mkosi kuzaliwa Tanzagiza.
 
Back
Top Bottom