Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2019 iliyopangwa kufanyikia nchini Cameroon, haitofanyika tena nchini humo kutokana na sababu za kiusalama. Kikao cha Shirikisho la Soka Afrika...
2 Reactions
51 Replies
11K Views
Hbr wanajamvi Naomba kujuzwa professional players wenye degree, masters Phd na wale wenye taaluma mbalimbali ikiwemo waliotumiakia taaluma zao huku wakicheza soka lakini pia hata ambao waliacha...
0 Reactions
55 Replies
12K Views
Leo mida ya saa kumi jioni kwa saa za Afrika Mashariki utapigwa mtanange wa kukata nashoka kati ya maafande wa magereza Tanzania dhidi ya Yanga afrika, yanga ambayo haijapoteza mchezo ata mmoja...
8 Reactions
414 Replies
37K Views
Mungu atusidie tutoboe hii stage,,,game bdo mbiiiichiii...msibwetekeee
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Habari wadau? Kama kichwa kinavyojieleza naomba kujua ni app gani naweza kutumia kucheki soka hasa mechi ya leo ya epl inayochezwa usiku mnene! Asanteni wanasoka
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Timu ya African Sports (wana kimanu manu) ilikuwa moto wa kuotea mbali miaka Ya 80 na Matokeo yake walimfunga Simba mpaka ikamkamlazimu waziri wa michezo marehemu Proffesor Machunda mnazi WA...
0 Reactions
9 Replies
8K Views
DAR ES SALAAM – Sick-as-a-parrot Mbabane Swallows have experienced some dark days in their African football safari but here at this East African country, the storm clouds returned – literally and...
0 Reactions
28 Replies
4K Views
Mwanasoka Staa wa Klabu ya Real Madrid na timu ya taifa ya Croatia, Luka Modric ametangazwa kuwa mshindi wa tuzo ya Ballon d'Or 2018 usiku huu na kuwabwaga Christiano Ronaldo na Lionel Messi...
0 Reactions
24 Replies
6K Views
December 4 , 2018 Victoria Seychelles CAF Confederation Cup 2018 : Northern Dynamo vs Mtibwa Sugar Mtibwa Sugar walivyowasili mjini Victoria ktk visiwa vya Seychelles bahari ya hindi. Baada...
2 Reactions
4 Replies
3K Views
Team yetu Simba imeingia jana Nchini Eswatin kucheza na mbabane siku ya j4 mjini Manzin mlio karibu tujumuike pamoja kushangilia chama letu...
2 Reactions
22 Replies
4K Views
Michezo ni upendo na uleta undugu na hivyo kuweka hali ya amani popote pale duniani.Mwakyembe kwa kushirikiana na TFF wacheni kabisa kupandikiza migogoro ndani ya Yanga waacheni wafanye uchaguzi...
5 Reactions
31 Replies
5K Views
Ndugu wachambuzi muwe mnatupa matokeo ya KRC GENK , hata kama "Kijana wetu". Hajafunga /kucheza mechi!..sio mnaleta akifunga tu! Asanteni sana !
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Baada ya kushindwa kuifunga man utd jumamosi iliyopita klabu ya Southampton yamtimua kocha wake Mark Hughes
2 Reactions
6 Replies
2K Views
Kitendo Cha Manchester United kuendelea kufanya vibaya kumemfanya kocha Jose Mourinho kumuangushia jumba bovu mchezaji wake Paul Pogba. Mara baada ya kutoka sare weekend iliopita. Kocha Mourinho...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Nimesikitishwa kusoma katika magazeti ya leo eti TFF imepata hasara ya Tsh 500 milioni mwaka 2014, lakini kilichosababisha hasara hiyo ndo kimenifanya niruke mita 1000 kimanga kwa mshangao Sababu...
3 Reactions
28 Replies
3K Views
Hakuna cha Ronaldo wala Messi, ni haki yake anastahili. 3. Messi 2.Ronaldo 1.Modric Bollon Dor for Modric
4 Reactions
66 Replies
10K Views
Dah inauma sana ukiona mpaka Mtu mzima analia hivi ujue inatia hasara.Tff na waamuzi badilikeni ase 1.uwanja una madimbwi na matope 2.kisha Refa anakuja kuchezesha hovyo
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…