Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Ukisoma gazeti la mwanaspoti la leo mama Karume anafafanua jinsi mgogoro ndani ya Yanga ulivyopelekea kujitenga kwa baadhi ya wanachama na kuanzisha Sunderland mwaka 1936. Kisha kuitwa Simba hapo...
0 Reactions
63 Replies
40K Views
Mikia : Yanga haijawahi kuingia makundi Champions League. Yanga : Remember 1998, sisi ndio waasisi, tena ilikuwa 8 bora sio nyie makundi timu 16. Mikia : Yanga haijawahi kujaza uwanja wa Taifa...
9 Reactions
51 Replies
8K Views
Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
1 Replies
650 Views
Zimebaki siku chache tu Taifa liingie kwenye aibu kubwa kimichezo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12] Sent using Jamii Forums...
7 Reactions
51 Replies
8K Views
we were to have a good weekend,[emoji26][emoji26] Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
0 Replies
814 Views
Wakuu naomba kujua kocha Mkuu wa Taifa Stars Emanuel Amunike anarudi lini kwa maandalizi ya Timu yetu ya Taifa kwenda Afcon...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Ama mbinu za kummaliza Adui yako si kwenye vita pekee;hata Yanga Makonda alituua na kutumaliza kabisa hasa baada ya Mhe Diwani wa Mbagala na Jembe la Yanga (Manji)kubambikiwa kesi za hovyo kabisa...
4 Reactions
35 Replies
6K Views
Nimeona Kauli mbiu ya Simba watakayotumia siku ya Jumamosi kwenye pambano lao na Saoura ya Algeria. Kwa ushauri wangu Kauli mbiu hii ingekuwa kwa kiswahili maana wengi wetu hatujui kiingereza...
1 Reactions
50 Replies
7K Views
Hatua ya makundi ligi ya mabingwa Afrika kuanza kupigwa Jumamosi ya Januari 12, 2019 kwa wawakilishi wa Tanzania Simba SC, Mnyama Mkali kuliko wote mwituni, inakapokwaruzana na JS Saoura ya...
10 Reactions
174 Replies
16K Views
-Kila la kheri Simba SC wapigeni pigo la moyo JS Saoura leo na ushindi wa mechi ya leo utawapa nguvu ya kupambana mechi zinazofuata Mungu ibariki Simba, Mungu Ibariki Tanzania. 1-Manula 2-Gyan...
4 Reactions
10 Replies
3K Views
Hii thread ya updates za Kagame Cup Sent using Jamii Forums mobile app 01.01.2019 KVZ vs Malindi matokeo bila bila Tar 02.01.2019 Chipukizi 0- Mlandege 1 UPDATES NUSU FAINALI Azam 3 - KMKM 0...
0 Reactions
88 Replies
11K Views
" Nawaomba wana Yanga wasije wakafanya makosa siku ya Jumapili, nawaombeni sana mchagueni Baraka Igangula. . kijana mstaarabu na mwenye nia ya dhati kuipeleka Yanga mbele, atatujengea uwanja na...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Taarifa zinaonyesha kwamba Golikipa wa zamani wa Timu ya Taifa ya DRC na TP Mazembe Robert Kidiaba amechaguliwa kuwa mbunge nchini humo katika uchaguzi uliofanyika hivi karibuni . Taarifa zaidi...
4 Reactions
19 Replies
5K Views
Mshambuliaji wa Klabu ya Liverpool na timu ya taifa ya Misri ameibuka mshindi wa kinyang'anyiro hocho kwa kuwabwaga, Sadio Mane na Pierre-Emerick Aubameyang Hii ni mara ya pili kwa Mo Salah...
1 Reactions
25 Replies
4K Views
Man Utd upcoming fixtures: ⚪️ 13th Jan: Tottenham (A) 🔴 26th Jan: Arsenal (A) 🔵 12th Feb: PSG (H) 🔴 24th Feb: Liverpool (H) 🔵 6th Mar: PSG (A) 🔴 9th Mar: Arsenal (A) 🔵 16th Mar: Man City (H)
3 Reactions
26 Replies
3K Views
Wanaoweza kuichangia Yanga wako wengi sana wa sh. 500 hadi 10,000 vijijini hadi mijini hasa kwa kipindi hiki ambacho timu haina hela lakini inafanya vizuri uwanjani. Huyu kocha ndiye nguzo kuu ya...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Hii Ni baada ya Leo wanachama 3 kutoka Mbeya, Morogoro na Dodoma kufungia kesi mahakamani kupinga uchaguzi huo Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Hey Members!! Katika kombe la Mapinduzi Zanzibar, Leo ilikua zinacheza timu kati ya YANGA SC na MALINDI katika uwanja wa Aman Nchini Zanzibar. Mpira umeisha dakika 90. YANGA 1 na MALINDI 2. Na...
4 Reactions
37 Replies
5K Views
Yanga ina mafanikio yake na simba inayo ya kwake YOUNG AFRICAN SPORTS CLUB Young Africans S.C headquarters located on Twiga street, Jangwani, Dar es Salaam Tanzania Mainland Premier...
0 Reactions
16 Replies
18K Views
Tuweke akiba ya maneno kila tunaposhiriki kwenye mashindano yoyote, mpira una matokeo ya kushinda, sare na kufungwa, hivyo viongozi, wanachama ma mashabiki wa simba tuwe na kiasi wakati tunaisifu...
5 Reactions
23 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…