Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Tume chapa zamaleek 4-2 hio ni ka 2-0 munaona ni home advantage ama Gor iko tu fiti,ama tukienda kwao wata revenge Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Mechi 6 za mwisho kat ya Yanga na Al ahly. Kwetu Yanga 0 - 0 Al ahly. Kwao Al Ahly 2 - 0 Yanga Taifa Yanga 1-0 Al Ahly Kwao Al Ahly 1 - 0 Yanga , tukatolewa kwa matuta 5 - 4. Apo Al ahly...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Tumeangalia mechi ya Al Alhy na Simba huku wachezaji wazawa watatu tu Aishi Manula, Jonas Mkude na Rashid Juma wakipata nafasi ya kuanza wengine waliobaki ni hawa tunaowaita wa kimataifa, kwa muda...
4 Reactions
10 Replies
2K Views
Waweza sema kama Beberu (Aussems) hajakidhi matakwa ya Mo na Manara kuifanya Simba iwe kama Mazembe au Barcelona basi Mo akampigia magoti Masoud Djuma Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
3 Replies
892 Views
Muna ona aje?Kariobangi sharks kweli wata beat Everton,I think everton inaeza shinda maybe 2:1 Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Kwa tofauti kubwa ya kiwango walichoonyesha dhidi ya AS vita na kisha Al Ahly, hawataweza kuwafunga hata hapa nyumbani, watachezea japo sio goli nyingi kama za ugeninu wakijitahidi Wakienda...
5 Reactions
14 Replies
3K Views
Simba ni kama WAKURYA wababe wakiwa TARIME wakija dar wanauza mayai. Ile ni aibu KUBWA haijawahi kutokea kwa kilichofanyika sinto kaa kuwasamehe hawa watu bora niwe shabiki hata Wa netboll...
3 Reactions
24 Replies
4K Views
Kwa muda wa kama wiki tatu hivi nimeanza kuangalia ligi kuu ya nchini ujerumani. Game ya tarehe 26 january kati ya Freiburg na Hoffenhaim iliyoisha kwa ushindi wa hoffenhaim kushinda 4-2. Hii game...
1 Reactions
2 Replies
947 Views
Tumekusia juzi kwenye mkutano maneno uliyosema kuhusu ndugu yetu aliyeumizwa na risasi 32. Ila nakukumbusha yaliyomkuta mwenzio Alhaji Omary Juma wa Yanga . Una nyumba ya vioo halafu unaanza...
1 Reactions
0 Replies
848 Views
Nikiwa Shabiki kindakindaki wa yanga.. nimeamua kuweka bet iwapo underdog fc watamfunga Al ahly.. basi ntampa mdau dadangu aende kujipigia mpaka achoke! najua haiwezekani coz mbumbumbu...
9 Reactions
90 Replies
7K Views
Nilishasema huyu mtu hana tofauti na malinzi, Rais alikuwa Sir leodiger Tenga tu hawa wengine wamekuja kuzoa utajiri tu Kumbe alimfungia wambura ili azitafune bila kelele
3 Reactions
65 Replies
5K Views
Wapenda sport wenzangu mnatambua kuwa kesho 2/2/2019 kuna mchezo kule Misri. Sijaona Chanel ya TV ikijinasibu kuturushia matangazo hayo mubashara kama ilivyokuwa kule Congo. Hivi ni Chanel gani au...
1 Reactions
23 Replies
8K Views
Hawa tff wamekuwa sababu kubwa ya wadau wa Michezo kukimbilia mahakamani, hebu angalieni suala la kakolanya wamelikalia kimya huku mchezaji akiendelea kuharibu kipaji kwa kukaa bench, wanategemea...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Taarifa rasmi itatoka hivi punde Sababu ni kutokana na Bandari na Kariobang sharks kutokuwa katika udhamini wa Sportspesa yaani Sportspesa sio main sponsor wao.
4 Reactions
25 Replies
6K Views
Game ipo tight sana nmeicheck hapa kama Simba ambayo ni Team ya Taifa ya Tanzania haitakaza tunapigwa bao 2 bila. Halafu tunarudi kuja jipanga. Nashauri wachezaji wasiingie vyumba vya...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Amejiunga na Burnley akitokea Stoke City inayocheza Championship katika siku ya mwisho ya usajili wa dirisha dogo
3 Reactions
14 Replies
2K Views
Kutoka katika ukurasa rasmi wa simba. mchezaji shiza kichuya amesajiliwa Enppi ya nchini Misti na ataanza mazoezi hapo kesho. kujiandaa na mchezo wa ligi kuu ya misri dhidi ya Al ahly hapo siku ya...
1 Reactions
9 Replies
5K Views
Kama kuna mdau humu,mjuzi wa mambo,naomba atuwekee orodha ya watanzania wanaocheza mpira wa kulipwa nje ya nvhi na makocha wanaofundisha nje ya nchi Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
2 Replies
3K Views
Tukio la kumtoa goalkeeper lilitokana na kuruhusu goal la pili la Yanga muda mfupi Jamp alimtoa goalkeeper huku akionekana akilalamika na hata hakumpa mkono wa kumpongeza hali ilioashiria kuwa yy...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
SIMULIZI:...............................UVUMILIVU BASI. MTUNZI;..............................RAJA SAIDY. WHATSAPP..........................0756920739...
2 Reactions
7 Replies
5K Views
Back
Top Bottom