Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Leo Jumamosi katika uwanja wa Benjamin Mkapa, wenye nchi Simba SC watafanya ule mtoko wa jezi mpya na utambulisho wa wachezaji na benchi la ufundi kwa msimu wa 2024/2025 Utambulisho huo...
21 Reactions
1K Replies
60K Views
1.Simba 2.Yanga 3.Azam 4.Namungo
3 Reactions
8 Replies
880 Views
Sio sababu ni MVP Ivory Coast pekee. Hapana. Hadi sasa tumeshuhudia wachezaji bora Ivory Coast wanatua katika ardhi Yetu. Aziz Ki na Pacome huwezi acha kuwataja - moja ya sajili bora kabisa katika...
11 Reactions
45 Replies
5K Views
Watu wengi wameona mwamuzi ameongeza dakika 5 na hakumaliza hizo hizo dakika akawa ameshapuliza baada ya dakika 2 tu! SABABU: Uungwana dhidi ya mpinzani✅ Soma Pia: Full Time: Yanga SC 2-0 Simba...
11 Reactions
33 Replies
2K Views
Simba Viongozi wake wanajitaidi saba kununua marefa ili waonekana bora mbele ya mashabiki wake,na mashabiki hufurahia hilo wanaposhinda mechi bila kuhoji uwezo wa timu tena ni timu ya kawaida...
3 Reactions
5 Replies
518 Views
Nimeangalia mwenendo wa Yanga inaonyesha kiwango kinazidi kushuka kwa kasi kubwa sana, hata inaposhinda unakuta inashinda kwa kupambaaaaana kama bao la mzee, kagoli kamoja. Hata game ile...
0 Reactions
5 Replies
737 Views
1. Kuna utofauti mkubwa sana baina ya Yanga vs Simba upande wa menejimenti, Yanga waliona wampe timu GSM awape furaha, GSM ndio anasajili wachezaji na kila jambo wanalisimamia wao, Simba kule Mo...
18 Reactions
28 Replies
3K Views
Hongereni wananchi.... Tujipange msimu ujao, ushauri wangu... Dirisha hili la usajili... Hatuna namna lazima tusajili beki wa katikati wa akiba, Yanga tumekua tukibweteka Sana na eneo hili...
11 Reactions
21 Replies
1K Views
Habari za muda huu Baada ya kuchoshwa na kunyanyaswa sana na Yanga naomba viongozi wa Simba wafanye maboresho kama wachezaji 6 hivi tu.(Tusifumue kikosi chote tutapotea zaidi) 1.Quality Golie awe...
4 Reactions
10 Replies
789 Views
Na wala hukuanza leo kwani hata mwaka jana Mimi GENTAMYCINE hapa hapa JamiiForums niliwahi kuja na Uzi wa Kukusihi kuwa acha kabisa kukubali kuonyeshwa upande wa Kushabikia na huyo Mshauri wako...
10 Reactions
40 Replies
3K Views
Mpira hauchwezwi kwenye mdomo. Captain Mohamed Hussein a.k.a Tshabalala alianza tambo mapema "tunapiga treble ya makombe matatu". Wanaojua mpira hawakumuelewa kabisa. Wakajiuliza mbona anatukana...
5 Reactions
24 Replies
1K Views
Muda utafika tutagundua udhamini wa GSM kwa timu zingine wala sio tatizo, muda utafika tutagundua Marefa wanaweza kutoka hata Ulaya ila kama huna uwezo utafungwa tu, muda utafika utagundua hao...
15 Reactions
55 Replies
2K Views
Camara, Mukwala na Mpanzu kwa Wageni wabaki na kwa Wenyeji abakie tu Kagoma, Tshabalala ila wengine Watemwe.
8 Reactions
21 Replies
1K Views
Ni ngumu sana kutegemea propaganda kukuvusha badala ya kufanya usajili Bora na makini, Ni ngumu sana kutegemea waandishi machawa kukufanyia promo kwamba timu yako ni Bora wakati wanakupoteza! Na...
10 Reactions
42 Replies
3K Views
Na kilichoniuma zaidi ni kwamba 95% ya waliokuwa 'wakimbeza' Mitandaoni hata Mpira wa Chandimu tu hawajacheza!!!
2 Reactions
13 Replies
840 Views
Wanasimbaaa, Kwa ufupi Yanga tumewashindwa! Hata hizi danki danki za majuzi ni uoga wetu tu. Fact ni tuache janja janja GSM atatufanya anachotaka hadi tupate uwekezaji serious ili tujenge timu...
14 Reactions
39 Replies
2K Views
CV ya Fadlu inaonyesha huwa anazifunga timu zinazo park bus na sio timu zinazo shambulia.. Fadlu ukitaka aonekane kocha wa maana wewe park bus. Ila ukimshambulia hanaga ujanja wowote. Timu...
4 Reactions
23 Replies
1K Views
🔥 27 wins out of 30 games! 🤩 Unreal numbers in a competitive league like the NBC Premier League. 👏 You have to give credit where it’s due — Yanga SC delivered an incredible season. From the...
1 Reactions
1 Replies
573 Views
Nashindwa kuelewa huzuni na malalamiko ya Mashabiki wa Simba yanapotoka. Yanga imekuwa ikijipanga kwa ajili ya ubingwa huku Simba imekuwa ikifurahia ranks za CAF. Msimu huu Yanga imeishia...
2 Reactions
6 Replies
466 Views
Rais wa Yanga SC Engineer Hersi Said kupitia ukurasa wake wa Instagram ameandika ujumbe wa kuwashukuru Mashabiki na Wanachama wa Klabu hiyo baada ya kutwaa Ubingwa wa ligi kuu ya NBC Msimu huu...
7 Reactions
5 Replies
552 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…