Ligi kuu ya Tanganyika inazidi kushika kasi huku miamba wawili wakitunishiana misuli kunyakua ubingwa wa NBC premier league. Hizi hapa mechi ambazo watazicheza away.
Yanga vs 🦁
Namungo vs 🦁...
Afisa habari wa Yanga amesema wana ratiba ya kupeleka ubingwa NBC PL, ili kama pongezi Kwa Rais Samia
Binafsi nimekereka na mambo ya uswahili yanayofanywa na club yangu
Kama viongozi wa Yanga...
Hapo vip!
Kwa nature wa mpira wa Tanzania kuna umuhimu viongozi wa serikali ambao ni mashabiki wa Simba kama Majaliwa,Makonda,kigwangwala,zungu,speaker Tulia n.k kuipambania Simba kwa kuinusuru...
Jana Simba wameachiwa uwanja wakafanye mazoezi ya mwisho lakini hawajaja
Je kumbe inawezekana kucheza bila kufanya mazoezi ya mwisho???
March 8 Simba walifeli wapi?
Sent from my TECNO KG5j using...
Hizi teams zina mambo ya kipuuzi sana lakini nashukuru YANGA MATAKWA YETU YOTE YALITIMIZWA ILI LEO TUIFUNGE SIMBA KWA UHAKIKA KABISA...
SIMBA HAWAWEZI ISHINDA YANGA HII AMBAYO INAPIGA MTU BAO...
Mwenyekiti wa klabu ya Simba ambaye katika uongozi wake Simba imebamizwa mabao mengi kuliko wakati wowote ule Mhe Murtaza Mangungu siku ya Jumamosi Asubuhi anatarajiwa kuchukua fomu ya kugombea...
Jana wakati anahojiwa na Media, Fahdu anasema Simba Haina wachezaji wenye quality kama Yanga, ina maana Israel Mwenda, Boka, Wana quality kubwa sana kushinda Kapombe na Shabalala, matatizo ya...
Semaji la CAF mbona umetelekeza timu yako sio kawaida yako kukaa kimya hivi au ndo umesusa
Semaji la CAF mara ya mwisho tulikubaliana na ulisisitiza simba haitaenda uwanjani kama tarehe 15...
Mpira una njia na taratibu zake, hakuna maajabu yanayoweza kutokea tena baada ya uongozi wa Yanga kurudia kosa kwa mara ya pili mfululizo. Timu ilifanyiwa mabadiliko ya benchi la ufundi kwa kuja...
Wadau hamjamboni nyote?
Mimi bado naamini timu ya simba itachukua ubingwa wa ligi kuu ya NBC Tanzania
Najua wengi hamuamini lakini kumbukeni kuwa imani ni kuwa na hakika ya mambo yatarajiwayo...
Leo Jumamosi katika uwanja wa Benjamin Mkapa, wenye nchi Simba SC watafanya ule mtoko wa jezi mpya na utambulisho wa wachezaji na benchi la ufundi kwa msimu wa 2024/2025
Utambulisho huo...
Sio sababu ni MVP Ivory Coast pekee. Hapana. Hadi sasa tumeshuhudia wachezaji bora Ivory Coast wanatua katika ardhi Yetu. Aziz Ki na Pacome huwezi acha kuwataja - moja ya sajili bora kabisa katika...
Watu wengi wameona mwamuzi ameongeza dakika 5 na hakumaliza hizo hizo dakika akawa ameshapuliza baada ya dakika 2 tu!
SABABU:
Uungwana dhidi ya mpinzani✅
Soma Pia: Full Time: Yanga SC 2-0 Simba...
Simba Viongozi wake wanajitaidi saba kununua marefa ili waonekana bora mbele ya mashabiki wake,na mashabiki hufurahia hilo wanaposhinda mechi bila kuhoji uwezo wa timu
tena ni timu ya kawaida...
Nimeangalia mwenendo wa Yanga inaonyesha kiwango kinazidi kushuka kwa kasi kubwa sana, hata inaposhinda unakuta inashinda kwa kupambaaaaana kama bao la mzee, kagoli kamoja.
Hata game ile...
1. Kuna utofauti mkubwa sana baina ya Yanga vs Simba upande wa menejimenti, Yanga waliona wampe timu GSM awape furaha, GSM ndio anasajili wachezaji na kila jambo wanalisimamia wao, Simba kule Mo...
Hongereni wananchi....
Tujipange msimu ujao, ushauri wangu... Dirisha hili la usajili... Hatuna namna lazima tusajili beki wa katikati wa akiba, Yanga tumekua tukibweteka Sana na eneo hili...
Habari za muda huu
Baada ya kuchoshwa na kunyanyaswa sana na Yanga naomba viongozi wa Simba wafanye maboresho kama wachezaji 6 hivi tu.(Tusifumue kikosi chote tutapotea zaidi)
1.Quality Golie awe...
Na wala hukuanza leo kwani hata mwaka jana Mimi GENTAMYCINE hapa hapa JamiiForums niliwahi kuja na Uzi wa Kukusihi kuwa acha kabisa kukubali kuonyeshwa upande wa Kushabikia na huyo Mshauri wako...