Nimecheka sana baada ya kuiona video hii ya bwana mdogo akilia huku akitoa maneno nataka kuhamia Yanga
Hii yote inatokana na mateso ya kufungwa timu yake ya Simba, kwahiyo dogo kaona ya nini...
I will be short
list yangu ya matapeli since 2014 -
1. Vítor Salvador (Jul 2014 - Jun 2015)
2. Goran Kopunovic (Jan 2015 - Jun 2015)
3. Dylan Kerr (Jul 2015 - Jun 2016)
4. Pierre...
Leo katika historia,
Itachukua miaka 20 ndipo simba ichukue ubingwa kwa sababu hawana akili hawashauriki pablo franco"
Simba haitakuja kubeba ubingwa Hadi miaka 10 ipite ....kama GSM yupo..."...
Nilisema toka mwanzo kwamba mpira wa Afrika umeporomoka sana na ndio maana hata vilabu hivi vya Tanzania vinaonekana kimakosa kwamba ni vizuri.
Ukiangalia jinsi vilabu vinne vya Afrika vilivyo...
Kutokana na kiwango kisichoridhisha cha hii timu ni dhahiri msimu huu hii timu haiwezi kuwa bingwa kwenye mashindano yoyote inayoshiriki. Kuna uwezekano mkubwa Yanga akatetea makombe ya Crdb...
Aziz Ki bado ana nafasi ya kurejea Yanga
Aziz Ki alijiunga na Wydad kwa mkopo mfupi wenye kipengele cha kununuliwa mazima kabla ya tarehe 10/07/2025.
Makubaliano ya Yanga na Wydad ni kulipwa...
I will be short.
club world cup updated points ni points za caf champions league tu.
in short team za caf confederation cup hazipo.
hii ndo list za point accumulated for fifa 2029 club World...
JKU VS Yanga SC
| Fainali Kombe la Muungano
| Mei 1, 2025
Mchezo unaendelea
Goooooooooooooo! Max Mpia anawapatia goli la kwanza Yanga
Yanga anakuwa bingwa wa kombe la Muungano 2025
Go
Siku ya Tarehe 25/6/2025 kutakua na ligi kubwa itakayofanyika DODOMA ligi hiyo itawakutanisha mafundi wa drafti kutoka sehemu tofauti tofauti hapa nchini
ZAWADI KWA WASHINDI...
Alichokiandika Meneja Habari Wa Azam ZakazaKazi Baada Ya Yanga Kuishinda Simba…
SASA NI TANO KWA TANO
Agosti 9, 2023 Azam FC ilifungwa 2-0 na Yanga kwenye Ngao ya Jamii jijini Tanga,
Shabiki...
Baada ya kuchambua kwa kina hizi timu za kibongo na sasa nimejiridhisha kuwa Bingwa wa NBC Premier League msimu wa 2023/2024 atakuwa timu ya Simba Sc, mpaka ligi NBC inafika ukingoni Simba Sc...
Nimepata habari za chini chini kuwa , Bodi ya Ligi inapanga kutumia staili na busara iliyotumika katika derby ya Al ahly na Zamaleki.
Bodi ya Ligi Haina mpango wa kumpokonya Yanga point 15. Kwa...
Simba imechangia kwa 100% katika ubingwa wa yanga msimu uliopita,wamegawa utamu kotekote,nyumbani na ugenini,alama 6 kwa mpinzani wake waliekuwa wanapigania ubingwa
Lakini ukiangalia kwa umakini...
"Mchezaji mwenye matumizi bora ya Mguu wa Kushoto ni Mohamed Hussein (Simba), Mchezaji bora matumizi Mguu wa kulia ni yeye Feisal Salum (Azam FC), Mmaliziaji bora amemtaja Prince Dube (Young...
Mwenyekiti wa Klabu ya Simba, Murtaza Mangungu amezungumza kuhusu matokeo ya derby ya jana na kujibu kuhusu baadhi ya maoni ya mashabiki wa klabu yake kuto kumuamini na kumtaka aondoke kwenye uongozi.
Arsenal inapigana vikumbo na wapinzani wao wa Kaskazini mwa London, Tottenham katika mbioz za kumsajili kiungo wa Crystal Palace na England, Eberechi Eze, 26, ambaye anatajwa kuwa na thamani ya...
Nilikuwa najua ni utani wa Ally Kamwe tu kumbe kweli bwana. Aisee kwa hali hii nadhani mzee Mangungu atupishe tu. Ikumbukwe pia Feitoto na Jonathan Soah tayari wamesha saini Yanga.