Hivi kweli Wanamichezo hapa JamiiForums tukiweka pembeni Mahaba yetu kwa hizi Timu zetu kabisa tukifanya thorough analysis kuanzia Msimu wa Ligi Kuu ya NBC ianze mpaka hivi juzi ilipomalizika na...
Wakuu hamjambo,
Usiku wa leo Saa 4:00 kwa masaa ya Afrika Mashariki, Timu yetu ya Taifa ya Wanawake (Twiga Stars) itashuka dimbani dhidi ya Mali katika mchezo wa AFCON ya Wanawake huko nchini...
Huyu jamaa, wachezaji wenzake wote wameudhuria mazishi ya Diogo jota ila yeye peke yake alivyokua na roho ngumu akaendelea kula Bata kwao na video zake zikimuonesha yupo club Colombia Sasa...
Mbunifu wa mavazi Sheria Ngowi, aliyebuni jezi za Yanga kwa misimu minne mfululizo ameipa mkono wa Bye Bye Klabu hiyo hivyo kumaanisha Uzi wa Yangu 2025/26 hazitabuniwa na mbunifu huyo.
Niende moja kwa moja kwenye mada, kama title inavyosema lengo nataka kufahamishwa hivi lile PAREDE la ubingwa wa kiatu cha JEAN CHARLES AHOUA, pamoja na cleanshit za MUSA PINPIN CAMARA litafanyika...
Yaani ni aibu kubwa kwa viongozi wa timu ya azzam fc kwa jinsi walivyozindua kits za timu yao kwa mwaka 2025-26,aibu tupu na dhahiri mentality yao ni ya kitoto kabisa.programu nzima ya uzinduzi...
Usajili ni akili, usajili ni sayansi, Kuna timu ilishawahi kuwa na Messi, Mbappe na Neymar lakini haikupata mafanikio yoyote. Usajili unaendana na mahitaji kwa wakati maalum!
Salaam Members!
Thomas Partey, mchezaji wa zamani wa Arsenal, afunguliwa mashtaka ya ubakaji mara tano na shambulio la kingono moja, imetangazwa na Huduma ya Mashtaka ya Umma (Crown Prosecution...
Kazi ipo msimu ujao,ligi inaenda Kuwa ya moto haswa,niwaombe timu yangu ya Simba tuacha masihara Kabisa Kuanzia Sasa tuendako ni machozi jasho na damu...watu hawataki masikhara Kabisa sshv.
Wakati wanaposajili wasisahau ile nafasi ya pili kwenye ligi ya NBC waliipataje. Wasije wakasahau kuwa walikuwa na timu mbovu iliyosaidiwa kumaliza katika nafasi ya pili kwa msaada wa waamuzi...
Najiuliza hili swali nashindwa kupata jibu, kati ya wachezaji waliopata mafanikio makubwa na muda wote toka Tanzania iumbwe na Toka kabla makubaliano ya bandari hayajafanyika ni Mbwana Samata...
Kiungo mahiri kutoka Hispania, Martin Zubimendi, hatimaye ametambulishwa rasmi kama mchezaji mpya wa Arsenal akitokea Real Sociedad kwa dau la Pauni Milioni 51.
Zubimendi, ambaye kwa muda mrefu...
Mwenyekiti wa Kamati ya Uchaguzi Mkuu wa TFF, Wakili Kiomoni Kibamba, ameshangazwa na baadhi ya mawakili wanaopinga uamuzi wa Kamati hiyo kuwaengua wagombea wanne wa urais wa TFF.
Wakili Kibamba...
Wenye mamlaka za soka Tanzania inabidi watulie na wawasome hawa Yanga na nini hasa wanataka kufanya wanaposema wanasusia derby.
Yanga wameshapiga mahesabu kuwa hawawezi kushushwa daraja hata...
Kombe la Dunia la Vilabu la FIFA 2025 ni mashindano mapya ya kimataifa yanayotarajiwa kufanyika Juni hadi Julai 2025 huko Marekani. Mashindano haya yanajumuisha vilabu bora kutoka mabara sita...
Kumbe waamuzi wetu wengi ni wapuliza filimbi sio waamuzi. Waamuzi wetu wanapuliza filimbi nyingi sana kuliko inavyosrahili.
Waamuzi wa Misri wametuonyesha kuwa mpira wa miguu ni mchezo wa...
Jana nilicheki mechi ya Fluminense vs Al Hilal na Leo nikacheki mechi ya PSG vs Bayern Munich
Nilichokiona kwenye mechi hizo mbili kimeniambia kwa nini Ligi kama ya Saudi Arabia itaishia kuwa kama...
Kuna Kasisi Mmoja nilimsikia (pamoja na Sheikh fulani) wakisema kuwa Watoto wengi tunapoteza Baraka zetu kwa Kukosana na Baba zetu kwa Kuwadharau na Kutowajali tukidhani (kwa Kudanganywa) kuwa...