Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Kuanzia benchi la ufundi,wachezaji, mishahara posho na fedha za kuendesha timu kwa mwezi, sidhani kama inapungua nusu bilioni pale. Now timu imetolewa kwenye kombe lenye hela nyingi CAF tena...
10 Reactions
31 Replies
4K Views
Mpira unadunda,mpira sio mbwembwe ,mpira ni mbinu.Simba wamecheza vzr sn lakini mwisho wa siku katolewa.Hatua hii ya mtoano ni hatua katili sn. Leo watu watatukana na kusema meeengi sn lakini...
9 Reactions
40 Replies
4K Views
Jumamosi iliyopita Yanga ikiwa ugenini Botswana ilifanikiwa kusonga mbele kwenye michuano hiyo baada ya kuichapa Township Rollers ya nchini humo bao 1-0, hivyo kuitoa kwa jumla ya mabao 2-1...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Kama endapo ingefungiwa kule ingekuwa shida kuisafirisha kuileta nyumbani Tumetumia hela nyingi sana katika kuiendeleza timu ya simba, usajili umefanyika tena wa gharama lakin hawa mabwana...
1 Reactions
6 Replies
922 Views
1. Timu ya Simba SC tulijiamini kupita Kiasi. 2. Timu ya Simba SC tuliwadharau sana Wapinzani. 3. Timu ya Simba SC ilijiandaa Kupata Mapato Uwanjani na siyo Matokeo mazuri Uwanjani. 4. Timu ya...
9 Reactions
62 Replies
7K Views
Nimeshuudia burudani ya mpira Leo yaani Azam wamefanya hii timu ionekane ya kawaida ila walikuwa na uwezo wa kushinda hata goal 6 ila hawakuwa makini kwenye finish ingawa pia kipa wa hiyo team...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Haya mjini story bure chakula ndio cha kulipia Kumbe wale samba boys kutoka amerika ya kusini kazi yao haikuwa Kucheza mpira tu Bali walikuja kwa majukumu mengine tu Wachambuzi toka Jana wanahoji...
3 Reactions
18 Replies
3K Views
Mimi kila mtu jua ni wekezaji kuba pale Simbazi halafu safari hii mimi tegemea pata mabilioni toka CAF ndo sababu mimi na dada iko fadhili simba sasa pesa yetu mingi tapotea bure. Bana Wambura...
3 Reactions
13 Replies
2K Views
Kila kukicha ww lawama wachezaji umesajili ww mwenyewe halafu unawalaumu nilishangaa sana mechi ya jana na polisi Unawapa lawama wachezaji hivyo ndo ulivyowafundisha sababu nyingine eti uwanja hv...
10 Reactions
65 Replies
6K Views
Ni Jambo la kushangaza kuona kuwa wanasimba ndo wako Mstari wa mbele Kumpiga vita kocha wa Yanga kuwa ni Mbovu kuliko wana Yanga Wenyewe, Mpaka sasa nashindwa kuelewa wema huu kwa timu ya Wananchi...
6 Reactions
40 Replies
4K Views
Team imeenda pre season SA -tulisifia sana, Team imecheza mech huko SA -tulisifia sana kwa yale matokeo Team ilirud bongo kwny simba day -tulisifia sana siku ile wachezaji Wote walikua bora Team...
3 Reactions
11 Replies
1K Views
Ref: Washabiki wa mikia[emoji23]
2 Reactions
1 Replies
756 Views
Nimeangalia pambano siamini nilichokua nakiona ulingoni ilibidi niangalie chanel kama ni yenyewe na ni LIVE au ni moja ya mapambano ya Joshua ya kitambo. Kumbe ni live na jamaa alikua anakula...
5 Reactions
84 Replies
10K Views
Aman iwe juu yenu Kuelekea Jumamosi siku ndoa ambayo itafungwa kanisa la mtakatifu lumbumbashi kati ya kijana tp mazembe na binti yetu bi Hindu. Tunaisubiri kwa hamu sana siku hiyo maana binti...
11 Reactions
42 Replies
5K Views
Wakuu mimi mwenyewe nimeweka hii kitu nasubiri pesa yangu tu yaani namaanisha kubeti nimebeti game mbili kwa tsh. 200,000/- game ni za uhakika kabisa Yaani kama unabisha acha harafu subiri game...
2 Reactions
141 Replies
16K Views
Nakumbuka katika Press yake ya Siku kama tatu hivi zilizopita Msemaji wa Simba SC Haji Manara alisema huku Watu wakidhani kuwa alikuwa akitania kwamba leo hii kati ya Saa 4 hadi Saa 6 hapo kuna...
3 Reactions
32 Replies
5K Views
Simba huwa hawafungwi mara kwa mara lakin wakifungwa hufungwa na timu wasioitarajia tena kipindi muhimu wapohitaji sn ushindi.( mechi ya Do or Die). Simba ya mwaka 1993 ikiingia fainali ya kombe...
4 Reactions
6 Replies
2K Views
Tulikuonya acha kutumia ubabe wa pesa ili upate ushawishi Simba Ukamdharau Mzee wetu kilomoni ukafanya fitina apate misuko suko ya polisi ili uonekane we ndio mtu sahihi Simba Nakwambia siku zako...
2 Reactions
35 Replies
4K Views
Simba imesajili wachezaji wengi wa kigeni na kuwapa mikataba minono ya kifedha huku wakitegemea kufika ktk hatua kubwa ya klabu bingwa ambayo imekuwa ni chanzo kikubwa cha sehemu ya mapato sasa...
1 Reactions
1 Replies
870 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…