Pole mtani,Mpira si Mbwe mbwe ni mbinu sasa na wewe ni Matopeni FC

Kamgomoli

JF-Expert Member
May 3, 2018
1,865
3,800
Mpira unadunda,mpira sio mbwembwe ,mpira ni mbinu.Simba wamecheza vzr sn lakini mwisho wa siku katolewa.Hatua hii ya mtoano ni hatua katili sn. Leo watu watatukana na kusema meeengi sn lakini kwetu wapenzi halisi wa mpira,maumivu km haya hutokea kila msimu.Simba tulieni,hakuna wa kulaumiwa si kocha wala wachezaji. Karibu sn matopeni mjiandae msimu ujao. Wanaume tumerudi kwenye kiti chetu. Hahaaaa
 
Simba kutolewa kwenye mashindano haiondoi ukweli ya kwamba simba ni bara kuliko yanga.
 
Dah! Bado siamini kama mnyama ametolewa kikatili vile! Alijiamini kwa 1000% kabla ya mchezo kumchakaza mpinzani wake kwa kipigo kizito! Bahati mbaya madogo nao waliwasoma vilivyo, hivyo wakaamua tu kuchomoa betri tangu dakika ya kwanza ya mchezo, na hivyo kuwapoteza kabisa wenyeji. Pole nyingi ziwafikie mbumbumbi fc.
 
Mpira unadunda,mpira sio mbwembwe ,mpira ni mbinu.Simba wamecheza vzr sn lakini mwisho wa siku katolewa.Hatua hii ya mtoano ni hatua katili sn. Leo watu watatukana na kusema meeengi sn lakini kwetu wapenzi halisi wa mpira,maumivu km haya hutokea kila msimu.Simba tulieni,hakuna wa kulaumiwa si kocha wala wachezaji. Karibu sn matopeni mjiandae msimu ujao. Wanaume tumerudi kwenye kiti chetu. Hahaaaa
Walikuwa wanashangilia kabla ya kazi
 
Dah! Bado siamini kama mnyama ametolewa kikatili vile! Alijiamini kwa 1000% kabla ya mchezo kumchakaza mpinzani wake kwa kipigo kizito! Bahati mbaya madogo nao waliwasoma vilivyo, hivyo wakaamua tu kuchomoa betri tangu dakika ya kwanza ya mchezo, na hivyo kuwapoteza kabisa wenyeji. Pole nyingi ziwafikie mbumbumbi fc.
Hivi yule jamaa mwenye sura ya ajabu kagere alikuwepo uwanjani!?
 
Kitu walichofanya Township rollers Kwa mkapa ndicho walichofanya UD songo.DK za mapema wafanye yao.Tofauti ya Yanga na simba.Yanga tulivyofungwa dk 8 hatukupanik tukatulia kusawazisha. Mapema tukapata mkwaju tukakosa.tukasawazisha mwishon.wenzetu simba walipofungwa wakapoteana.kila mtu akawa anacheza kwa uwezo binafsi.Hatimaye wakasawazisha kwa mkwaju mwishoni kama sisi.Bila shaka walijua watavuka kama walivyofuka kwa nkana mwaka jana.
 
Hivi yule jamaa mwenye sura ya ajabu kagere alikuwepo uwanjani!?

Alicheza dakika zote 90 lakini kwa bahati mbaya hakufurukuta hata kidogo! baada ya kukutana na mabeki katili wa UD songo waliomkaba mwanzo mwisho na hivyo kuishia kukimbia kimbia na kuruka ruka tu uwanjani.
 
Back
Top Bottom