Timu ya taifa ya vijana chini ya miaka 20 (Ngorongoro Heroes) wanakutana na vijana wenzao wa nchini Sudan katika mtanange wa nusu fainali ya Cecafa U20 2019. Mchezo huo unapigwa sasa uwanja wa...
Mtangazaji mahiri wa Shirika la Utangazaji la Uingereza BBC mh Salim Kikeke ameteuliwa kuwa balozi wa Simba SC nchini Uingereza.
Klabu ya Simba imesema inategemea Kikeke atawapaisha sana...
Timu ya taifa ya vijana chini ya miaka 20 (Ngorongoro Heroes) wanakutana na vijana wenzao wa nchini Uganda katika mtanange wa robo fainali ya Cecafa U20. Mchezo huo utapigwa saa kumi jioni saa za...
Kampuni hizo zinazoendesha michezo ya kubashiri zimesimamisha shughuli zake Nchini humo katika uamuzi unaoonekana ni wa mwisho kufuatia mvutano wa muda mrefu kuhusu ushuru na sheria zinazodaiwa...
Nilikuwa nafuatilia league kuu ya Austria Bundesliga baada ya kufungua taarifa za hii timu kwenye picha nikakutana na mchezaji anaitwa Lema nikashutuka mbona jina la watanzania hili kufungua zaidi...
Ligi ya msimu uliopita ilikuwa na malalamiko mengi hasa kutoka timu ya Yanga kuwa Simba inabebwa na kuwa na viporo vingi, kocha alidai ameshitaki hadi CAF lakini cha ajabu sasa hivi timu hiyo...
Kivumbi kinatarajia kutimka leo saa 10 jioni kwenye uwanja wa Levy Mwanawasa wakati wawakilishi wa Tanzania, Dar es Salaam Young Africans (Yanga) almaarufu kama wakimataifa / timu ya wananchi /...
Finally, The Rock is back in the WWE!
The former WWE Champion and eternal People's Champion announced late Monday (September 30) that he's coming back to the WWE Universe — and the millions and...
Tuzo ya Mchezaji Bora wa FIFA imekumbwa na shutuma nzito juu ya kura zilizomchagua Mshambuliaji wa Barcelona, Lionel Messi kushinda tuzo hiyo ikidaiwa kura zilikuwa za uongo
Katika hatua nyingine...
Ndo hivyo huyu ninja ataikumbuka England
Nimetizima game zote ambazo kacheza hana makeke wala hana chochote
Wala hakuna bak anayemkamia kama kipindi yuko England unakuta anakabwa na mabeki...
Salamu Tanzania na duniani kote...!
Patashika ya Ligi Kuu ya Tanzania Vodacom Premier League VPL, Kuendelea tena leo September 29, 2019 kwenye Viwanja tofauti nchi Tanzania, gumzo ni Klabu ya...
Data kama hizi Africa huwezi zikuta, wako wapi watoto wa kina Jerry Tegete, Mrisho Ngasa, J.Boko, Abdi Babi, Kigi Makasi, Chuji, Juma Kaseja, Henry Shindika
Boban na wengineo au ndo wako shule...
Wanayanga wenzangu huyu mzee hana jipya tukifungwa ama kudroo mechi dhidi ya polisi atasema wachezaji walikuwa na uchovu na hlo tulitegemee uongozi jamani pingeni kauli za huyu kocha timu...
Saa 2 za Usiku kwa Masaa ya Afrika ya Mashariki, kutakuwa na hafla ya utoaji wa tuzo ya Mchezaji bora wa FIFA kwa mwaka 2019 pale jijini Milan nchini Italy.
Pia hafla hiyo itaambatana na utoaji...
Timu yangu Simba sc achaneni na kahata sijaona ubora wake, Katika mechi ya kwanza nilihis labda kwakuwa Algeria ni bora kuliko Kenya Lakini hata Jana alikuwa hivyo tu hadi kutolewa mapema kipindi...
Unadaka vizuri tatizo lako ni hili umeanza makosa ya kupoteza muda wakati timu inahitaji ushindi mfano mechi dhidi ya Zesco far es salaam hata kule Zambia
Hazard wa Chelsea alikuwa fire alikuwa anauwezo pekee yake kuamua mechi inashangaza hazard anamaliza game ndani ya team ya Madrid bila hata shot on target.chelsea hazard alikuwa mfalme...