Zahera kutoa visingizio tena mechi dhidi ya Polisi septemba 2, 2019

Kalolelo

Senior Member
Oct 17, 2018
164
244
Wanayanga wenzangu huyu mzee hana jipya tukifungwa ama kudroo mechi dhidi ya polisi atasema wachezaji walikuwa na uchovu na hlo tulitegemee uongozi jamani pingeni kauli za huyu kocha timu imecheza mechi nyingi sana lkn kila siku visingizio haviishi walai kwa mbinu zile za kupaki basi sahau kupata matokeo
 
Kwani kutoa sababu ni kisingizio?ivi unaakili ya mpira?Wewe ushawahi kufundisha timu hata level ya shule?

Kwa kawaida mpira fatique ni moja ya sababu ya kufanya timu icheze ovyo.

Simba ilivyotolewa na UD songo tatizo ni fatique?
 
Wanayanga wenzangu huyu mzee hana jipya tukifungwa ama kudroo mechi dhidi ya polisi atasema wachezaji walikuwa na uchovu na hlo tulitegemee uongozi jamani pingeni kauli za huyu kocha timu imecheza mechi nyingi sana lkn kila siku visingizio haviishi walai kwa mbinu zile za kupaki basi sahau kupata matokeo
Kwanza unazungumzia September ipi hiyo,ya 2020?
 
Kiuwekl Zahera

kazidi sijawah kuisikia Ata siku moja ame fungwa au katoa sale aka Sema sababu za maana yaani kiufund

Always Ata laumu TFF, MAREFA, VIWANJA, AU ASEME UCHOVU

Ajawah kukiri kuwa wapinzani wake walikuwa vizuri au kusema kama wachezaji wake alicheza vibaya au Wali zidiwa mbinu

Sasa akishinda utapenda kifup sio kocha ambae anaheshemu ubora wa timu zingine yeye a naamin yeye ndio bora na timu yake Ina stahili kuzifunga timu zote sio yeye kufungwa au sare

Ni shida hiyo
 
Wanayanga wenzangu huyu mzee hana jipya tukifungwa ama kudroo mechi dhidi ya polisi atasema wachezaji walikuwa na uchovu na hlo tulitegemee uongozi jamani pingeni kauli za huyu kocha timu imecheza mechi nyingi sana lkn kila siku visingizio haviishi walai kwa mbinu zile za kupaki basi sahau kupata matokeo
?????
 
Hiyo siyo shida kwenye soka.Shida gani?tuambie ni kivipi ni shida?Hivi Yanga kufungwa na Ruvu ni kuwa Ruvu ni bora kuliko Yanga?au ni Yanga ilifungwa na Biashara united je,Yanga ilicheza vibaya sana hata useme Biashara ni bora kuliko Yanga?Ukipigwa goli 3au zaidi hapo unaweza kusema mpinzani ni bora.

Back
Top Bottom