SportPesa and Betin Kenya shut down operations, Betin sends all staff home

beth

JF-Expert Member
Aug 19, 2012
3,877
6,326
Kampuni hizo zinazoendesha michezo ya kubashiri zimesimamisha shughuli zake Nchini humo katika uamuzi unaoonekana ni wa mwisho kufuatia mvutano wa muda mrefu kuhusu ushuru na sheria zinazodaiwa kuwa ngumu dhidi yao zilizowekwa na Serikali

Betin imetuma ujumbe kwa Wafanyakazi wake ikiwaondoa kazini kwa kudai ni kutokana na masula ya kifedha ambapo imedai Utawala unahitaji kufukiria upya namna ya kuendesha shughuli zake

Aidha, Betin imedai kuwa ilijaribu kutafuta namna mbadala ya kuendesha shughuli zake kati ya Mwezi Julai na Septemba mwaka huu lakini ilishindikana na kugundua kifedha ni ngumu kuhudumia Wafanyakazi wote

SportPesa yenyewe imeonesha kusikitishwa na hatua ya Serikali kuweka ushuru wa aslimia 20 kwenye kila bashiri inayowekwa na kushinda na kueleza kuwa hatua hiyo itawafanya Watu wasibashiri kwani makato ni makubwa

Hata hivyo, hatua hii inakuja mwezi mmoja baada ya Kampuni hizo kuruhusiwa na Mamlaka ya Mapato (KRA) kuomba leseni mpya ya kufanya shughuli zao baada ya Serikali kuziambia Kampuni za simu kuzuia namba za malipo za Kampuni zote za kubashiri

SportPesa na Betin ni miongoni mwa Kampuni 27 ambazo leseni zao zilifutwa na Wakurugenzi wao kutakiwa kuondoka baada ya kushindwa kuthibitishwa ni kwa namna gani walikuwa walikipa kodi kama ilivyotakiwa na Bodi ya michezo ya Kubahatisha
*******

> According to Betin, attempts to find an alternative between July and September this year have been futile making it financially impossible to maintain the workforce.

> The firms are said to have failed to prove that they were tax compliant as required by the Betting Control and Licensing Board (BCLB).

Betting firms SportPesa and Betin have halted their operations in Kenya marking what could be the final straw in their long-drawn taxation and regulatory tussle with the Kenyan Government

Kenya's largest sports gaming firm, SportPesa, has announced a move to halt its operations in Kenya.

The firm said it would resume operations when Kenya puts in place "adequate taxation and non-hostile regulatory environment."

The announcement just comes hours after the second-largest firm, Betin, announced that it was declaring its staff redundant.

The move comes after the government's decision to impose a 20 per cent tax on all betting stakes, a move that the firms have cited as damaging on both their customers and treasury.

"Sportpesa is disappointed with the decision by the Kenyan legislature to impose a 20% excise tax on all betting stakes. The tax is based on a fundamental misunderstanding by the Rotich led treasury of how revenue generation works in the bookmaker industry," read the statement in part.

It added; "Until such time that adequate taxation and non-hostile regulatory environment is returned, the SportPesa brand will halt operations in Kenya."

The firm said compounded by the currently in-effect 20 per cent Withholding Tax on Winnings, the economic incentive to place bets will be completely removed as the taxes will deprive consumers of their total winnings.

"This will have severe consequences for licensed betting companies, which dutifully pay their taxes and ultimately will lead to a decline in government tax revenue to near zero and will halt all investments in sports in Kenya," the firm said.

Betin, which operates as Gamcode Limited, told staff on Friday that the firm had been left with no option but to let them go.

"This has been occasioned by the fact that we have not been operational since July 2019 a fact we are all aware of. Management has had several extensive meeting with relevant government entities regarding the company's license renewal without much success," the memo dated September 27 stated.

The two firms were among a number of betting firms whose licenses were revoked by the government over a taxation row that found its way to the corridors of justice.

It is not clear how many staff members are affected by the move by Betin but it is expected to affect about 2,500 including those at Betin Shops scattered in various locations.
 
wale wenzangu na mm
Tuliokua tunabeba mahindi kwenye begi la madaftari,
Tunamng'ong'a mwl wa kingereza akigeuka ubaoni,
Tunatengeneza tiara tunazirusha darasani,
Tunacheza goroli na pencil,
Tunafunga kamba za sket za wadada,
Tunasimama mlangoni kusubiria kengere,

Vip hapooo? Mto mada aandike kwa herufi kubwa au aongeze sauti?

Hapa ndio tunaungana na mwenzetu Magu bila kupenda:
 
> According to Betin, attempts to find an alternative between July and September this year have been futile making it financially impossible to maintain the workforce.

> The firms are said to have failed to prove that they were tax compliant as required by the Betting Control and Licensing Board (BCLB).

Betting firms SportPesa and Betin have halted their operations in Kenya marking what could be the final straw in their long-drawn taxation and regulatory tussle with the Kenyan Government

Kenya's largest sports gaming firm, SportPesa, has announced a move to halt its operations in Kenya.

The firm said it would resume operations when Kenya puts in place "adequate taxation and non-hostile regulatory environment."

The announcement just comes hours after the second-largest firm, Betin, announced that it was declaring its staff redundant.

The move comes after the government's decision to impose a 20 per cent tax on all betting stakes, a move that the firms have cited as damaging on both their customers and treasury.

"Sportpesa is disappointed with the decision by the Kenyan legislature to impose a 20% excise tax on all betting stakes. The tax is based on a fundamental misunderstanding by the Rotich led treasury of how revenue generation works in the bookmaker industry," read the statement in part.

It added; "Until such time that adequate taxation and non-hostile regulatory environment is returned, the SportPesa brand will halt operations in Kenya."

The firm said compounded by the currently in-effect 20 per cent Withholding Tax on Winnings, the economic incentive to place bets will be completely removed as the taxes will deprive consumers of their total winnings.

"This will have severe consequences for licensed betting companies, which dutifully pay their taxes and ultimately will lead to a decline in government tax revenue to near zero and will halt all investments in sports in Kenya," the firm said.

Betin, which operates as Gamcode Limited, told staff on Friday that the firm had been left with no option but to let them go.

"This has been occasioned by the fact that we have not been operational since July 2019 a fact we are all aware of. Management has had several extensive meeting with relevant government entities regarding the company's license renewal without much success," the memo dated September 27 stated.

The two firms were among a number of betting firms whose licenses were revoked by the government over a taxation row that found its way to the corridors of justice.

It is not clear how many staff members are affected by the move by Betin but it is expected to affect about 2,500 including those at Betin Shops scattered in various locations.
Poleni sana jameni! Every time your funds are touched by the taxing authorities, you start negative moves like laying off staff and the likes. How much profit do you want to make 1200% or what? Can't you guys reach a WIN WIN SITUATION with the TAXMAN?
 
Kwan kwa Tanzania tax ni ngapi ?
18% - 25% kama sikosei kwa hela inayochezewa na inayopatikana baada ya mtu kushinda kwa muda kadhaa, Labda wiki au mwezi.

Mara nyingi inategemeana na aina ya bet. Mchezo na mchezo. Nimeambatanisha kipicha hapa chini
 
Attachments

  • download.jpg
    download.jpg
    13 KB · Views: 26
hata hapa bongo wayafutie usajili tu, makampuni yamejitengenezea mazingira yao ya kuwapuna zaidi wateja wao.. yanabana options, yanapunguza odds, yanaweka ukomo wa ushindi, ukibahatika ukawawin smtyms wasumbufu kulipa, wanalamba kodi 20% yaani ni majanga tu...
 
Wale jamaa wa middle income kila siku wanajifaragua humu Tz this Tz that kuhusu mazingira ya uwekezaji.

Njooni na hapa mtubanie pua Tena serikali yenu imeshindwana na wawekezaji.
 
hata hapa bongo wayafutie usajili tu, makampuni yamejitengenezea mazingira yao ya kuwapuna zaidi wateja wao.. yanabana options, yanapunguza odds, yanaweka ukomo wa ushindi, ukibahatika ukawawin smtyms wasumbufu kulipa, wanalamba kodi 20% yaani ni majanga tu...

Wa geanza na wachina wa mtaani slotting machine ni janga.
 
Huku unalipa ukishind.
Kenya wanata mchexaji akiweka mzigo tu kodi ikatwe kwa mchezaji ushinde usishinde haiwahusu.

Athari yake ni betting amount kupungua kabla hata hujacheza.
Kenya serikali inajali raia wake. Inajua athari za kamari na ndio maana inaweka sheria ngumu. Waje huku shamba la bibi, kila mtaa kuna mashine za kamari.
 
Wewe beth Em tupe tofauti kati ya kodi na ushuru? Sidhani kama ushuru upo kwenye kampumi za betting
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom