Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

March 3, 2008 Men's Basketball 7,600 Miles From UConn, Thabeet Is Big Man Off Campus By MIKE OGLE STORRS, Conn. — An airplane landed in Dar es Salaam, Tanzania, in May 2007 with a man of...
0 Reactions
292 Replies
45K Views
Kocha Mkuu " Timu yangu haina uwezo wa Kucheza na Waarabu hawa na sina Kikosi cha Kucheza nao kwani sikusajili kwa ajili ya Mashindano ya Kimataifa huu ndiyo ukweli na tusije Kulaumiana kama...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Ni mtanzania wa kwanza kucheza na mabingwa wa ligi ya mabingwa Ulaya. Liverpool fc. Ni mtanzania wa kwanza kujaribu kumfunga kipa bora wa mwaka. Alison Becker. Ni mtanzania wa kwanza kukabwa na...
0 Reactions
49 Replies
7K Views
Nina app ya mobdro Chanel Gani itaonesha game ya Liverpool vs genk.
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Kumbe sababu kubwa ya wachezaji wetu kushindwa kufanya vizuri kwenye michuano ya kimataifa ni kwa sababu wanakariri sana maelekezo ya kocha kuliko maamuzi yao binafsi uwanjani. Hivi hawaoni...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Je, Mkwasa anaweza kuiziba nafasi ya kocha aliyeondoka, George Lwandamina Yanga?
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Hii ni baada ya timu hiyo kupokea kipigo cha mbwa koko kwenye mechi ya Jumamosi ugenini kwa Eintracht Frankfut ambako walitandikwa bao 5 -1. Je, ni nani atapewa kazi ya kukinoa kikosi hiki?
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Yaani nao wanatumia video za youtube tulizostream jana na wao wanaoonesha kwenye habari hivyo hivyo halafu zinascrach. Hovyo sana na aibu kwa taifa hili la Tanzania. Yaani nao wanamtumia Dr...
3 Reactions
12 Replies
2K Views
Kinyozi maarufu aliyekuwa anamyoa staa wa Jubentus na Ureno Cristiano Ronaldo amekutwa mefariki ndani ya chumba cha hotel nchini Uswizi. Mwili wa kinyozi huyo umekutwa chumba cha hotel na mhudumu...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Huyu Mkuu Yuko wapi
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Katika historia ya soka timu za kiafrika zimeishia kwenye robo fainali tu katika kombe la dunia. Hakuna iliyowahi kufikia nusu hata 1. Mwaka 2010 pale Sauz timu ya Ghana ilikua inatarajia kuvunja...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Leo ligi inayopendwa duniani imeingiwa na simanzi baada ya mchezaji wa timu ya Everton kuumia vibaya baada ya kukanyagwa na mchezaji wa Tottenham SON binafsi nimeumia sana.
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Kocha wa Yanga, Mwinyi Zahera amesema kuwa hawezi kuwasikiliza mashabiki wanachokisema kwa sasa baada ya kufungwa na Pyramids FC bali anawasiliana na uongozi ambao ulimpa mkataba. Hayo yamekuja...
1 Reactions
54 Replies
9K Views
Sioni dalili za game ya Yanga kuoneshwa..yawezekana ikawa ni ombi lao ili kukwepa aibu ya kuona jinsi watakavyokua wakiadabishwa na pyramids.. Hata hivyo dunia kijiji link zipo na wale wa dstv...
0 Reactions
33 Replies
5K Views
Juzi kati hapa kocha Zahera alisema timu ya Yanga haikusajili kwa ajili ya mashindano ya kimataifa, hii kauli inaungwa mkono na baadhi ya mashabiki na viongozi wa Yanga. Je, Yanga nyie kwa nini...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Habari za wakati huu wanamichezo. Naamini wengi wenu au baadhi yenu humu jukwaani mnatumia samsung phones. Sasa basi samsung wana application inaitwa samsung health Kazi ya hii app ni ku...
4 Reactions
38 Replies
4K Views
Muda mchache ujao hapo SAA 12:00 EAT wawakilishi wa Africa pia mabingwa mara mbili wa dunia wanaenda kumenyana mbavu na England katika fainali hii ya WC. Usikose mpambano huu kupitia SS1, DStv...
0 Reactions
3 Replies
965 Views
Klabu ya soka ya Yanga jana jioni wamesafiri kuelekea Misri kwenye mchezo wa mkondo wa pili dhidi ya wapinzani wao Pyramids FC. Yanga imeondoka ikiwa inakosa huduma ya wachezaji wake muhimu Kelvin...
0 Reactions
34 Replies
4K Views
CCM ni chama kikubwa na kikongwe kinachoongozwa na watu wenye weledi mkubwa. Hivyo CCM hakiwezi kufa au kushindwa kujiendesha kama kitarudisha serikalini viwanja vya mpira inavyovimiliki ili...
1 Reactions
42 Replies
4K Views
Naaam kumekucha..Ule mfululizo wa patashika ya kumtafuta bingwa wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara 2019/2020, Vodacom Premier League (VPL), kuendelea kutimua vumbi leo Jumapili ya Novemba 3, 2019 katika...
3 Reactions
97 Replies
13K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…