Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Huyu kaingia kwenye 18 zetu na bahati mbaya wanaomtumia wameshaanza kumkana na wanalaumu TFF eti wamekuwa wakali sana kwenye suala hili. Dogo anasema line alishavunja baada ya kushauriwa na watu...
8 Reactions
80 Replies
9K Views
Hello Hello...! Patashika ya Ligi Kuu Tanzania kuendelea kutimua vumbi leo Jumatano ya January 29, 2020 ambapo Mabingwa wa Nchi Wekundu wa Msimbazi, Simba SC, vinara wa VPL wakiwa na alama 41 kwa...
11 Reactions
255 Replies
24K Views
Kocha wa Namungo wakati anafanya press baada ya kumaliza game yao dhidi ya Simba wameeleza kwanini walikaa nje ya dress room kipindi wameenda kupumzika baada ya first half. kocha wa Namungo...
3 Reactions
27 Replies
3K Views
Samatta: Huyu ndie anaefaa kuwa rafiki yako Aston Villa. Kwanza natoa pongezi nyingi kwake Mbwana Samatta jana tumeona akicheza mchezo wake wa kwanza akiwa na jezi ya Tim yake mpya ya Aston...
6 Reactions
10 Replies
2K Views
Dogo hajahongwa na mtu..Mwalimu Nyerere wakati Tanzania na Malawi tunagombea mpaka wa ziwa nyasa..na Kamuzu Hastings Banda akiwa na uungwaji mkono mkubwa wa mabeberu (Afrika ya Kusini, Ureno...
2 Reactions
39 Replies
7K Views
Wahamasishaji wetu hawa kupitia michezo ifikie pahala serikali iwape heshima ya kuwatambua na kuwasaidia katika njia moja au nyingine kwani wayafanyayo mbali ya kuonekana ni comedy lakini wamekua...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hata mimi nimetokea kumkubali mbali ya kuwa naishabikia Yanga,lakini nimewaza tu hizi sifa na covearage kubwa anazopata na ugeni wake asije akavimba kichwa akashindwa ku deliver hasa kile...
0 Reactions
47 Replies
5K Views
Hakika bila mashabiki, mchezo wa mpira wa miguu si kitu! Timu ya Valencia imeweka sanamu katika kiti cha shabiki wake (sasa ni marehemu) ambaye alihudhuria uwanjani hapo kutazama kila mchezo hata...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Kwenye pita pita zangu leo mitandaoni nilifanikiwa kuingia kwenye page ya Sky Sport ya Instagram, Source ya michezo ambayo naiamini kuliko zote. Achana na hao wakina Shafii Dauda, maana kwenye...
3 Reactions
15 Replies
2K Views
wadau wote tusiokuwa na DSTV link hii hapo tujoin pamoja aisee hiyo hapo chini Liverpool Vs Barcelona Live Streaming Link
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Jana ilikuwa ni siku ya kipekee sana kwa watanzania. Jana, mamilioni ya watanzania kwa namna mbalimbali macho yao yalikuwa katika jiji la Birmingham. Macho yao yalikuwa huko kwasababu moja tu...
7 Reactions
11 Replies
2K Views
Ukiistaajabu ya uwanja wa CCM Sokoine Mbeya utayaona ya CCM Kirumba. Nimeskia tangazo redioni kuwa Harmonize atakua na Show ya bure Kirumba tarehe 7 February km sjakosea chini ya udhamini wa...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Leo nd'o leo. Macho ya watanzania wengi wapenda michezo yataelekezwa katika jiji la Birmingham. Katika uwanja wa Villa Park unaomilikiwa na klabu ya Aston villa kutakuwa na mtanange wa nusu...
3 Reactions
203 Replies
21K Views
Mbwana Alli Samatta ‘Captain Diego’ leo anaanza kukiwasha ardhi ya Malkia. Wakenya mnanuna sana poleni. Wanyama kazeeka. Mariga sijui yuko wapi? Wakenya ndo mjue kama ni mvua basi hii rasha...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Habarini wana michezo... Ligi kuu ya Vodacom Tanzania Bara kwa sasa imesimama kupisha kwa muda mashindano ya FA/ASFC (AZAM SPORTS FEDERATION CUP) Sasa kuna makosa ambao vilabu vya ligi kuu...
6 Reactions
14 Replies
2K Views
Bournemouth (A), Tottenham Hotspurs (H), Southampton (A), Sheffield United (H), Chelsea (H), Newcastle United (A), Wolverhampton (A), Liverpool (A), Manchester United (H), Crystal Palace (H)...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Mambo vipi wakuu wangu.... Ni hivi, leo nianza rasmi kubeti kupitia hii App ya 1Xbet, nimeweka mikeka mitano( mmojamoja) ambapo mechi zitapigwa mda tofautitofauti.. Sasa wakuu naomba ufahamu...
0 Reactions
30 Replies
14K Views
Ni ajabu sana huyu jamaa anakuwa kama shabiki maandazi ww ni msemaji semea timu yako kitendo cha kumuita Morrison takataka ni kitendo kichafu sasa cjui ww wakikuita........ Utajisikiaje
4 Reactions
60 Replies
7K Views
Wamarekani wamemchamba sana hasheem baada ya ligi ya chini ya mpira wa kikapu kumtimua mtanzania uyo. Sent using Jamii Forums mobile app
2 Reactions
27 Replies
5K Views
Oiii naomba kuelekezwa kuhusu perfect 12 ya m-bet
0 Reactions
17 Replies
10K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…