Pierre Liquid - Bongo Zozo

ibanezafrica

JF-Expert Member
Oct 23, 2014
7,261
6,543
Wahamasishaji wetu hawa kupitia michezo ifikie pahala serikali iwape heshima ya kuwatambua na kuwasaidia katika njia moja au nyingine kwani wayafanyayo mbali ya kuonekana ni comedy lakini wamekua wakifikisha ujumbe na kujenga mshikamano,ari,upendo,furaha na umoja....
Serikali kupitia Wizara zake Michezo na Utalii ikae na kuona jinsi gani itaweza kuwatumia kwa kuwashika mkono ili kuleta mshikamano na kujenga hamasa kwenye michezo na pia kuitangaza jamhuri ya muungano ya Tanzania duniani hususan katika swala zima la Utalii.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Likwidi hapana kwakweli maana simuelewi anachofanya, labda achukuliwe na TBL
 
Back
Top Bottom