Oi! oi! wazee wa one two, one two bu baa, bu baa, Uppercuts, cross na kila kitu leo Morogoro kinajiri,
Kama kawa, matokeo utayapata katika huu uzi, Stay there, nitakuwa naweka matokeo ya...
14Sep 2020
Na Mwandishi Wetu
Dar es Salaam
Makala
Nipashe
Nyota wa5 wanaomkubali Ronaldo dhidi ya Messi
MWEKAJI rekodi wa timu ya Taifa ya Ureno, Cristiano Ronaldo alilipamba jina lake kwenye...
Dakika chache tu nilizomtazama kwenye hii game ya yanga Vs Mbeya city leo naishia kusema huyu mwamba Yanga wamelamba dume ukitoa usharobaro wake lakini yuko vizuri aswaa,
Kila pasi inafika kwa...
Ilitosha mwalimu huyo kusema tu hatujamwita kikosi cha taifa kwa vile kiwango chake kiko chini kwa sasa.
Hii ya kusema hatuendi kuposa ina uhusiano gani na Aishi Manula kuteuliwa kikosi cha timu...
WanaJF nilikuwa naomba kujuzwa maeneo mbali mbali ninapoweza kujifunza martial arts yoyote ile (karate, kickbox, boxing, kungfu ) pamoja na gharama zao.
Asanteni wakuu
Kumekuwa na uvumi kuwa kampuni ya Azam Tv wameamua kutokuongeza tena mkataba wake wa kuonyesha ligi kuu ya Uhispania, maarufu kama La Liga. Hivyo kufanya chaneli yao ya Azam Sports HD iliyokuwa...
Habari wana Jamiiforums
Baada ya jana kutabiri mikia kutoa sare, leo mabingwa wa kihistoria wa Tanzania tunaenda kucheza na Mbeya city katika uwanja wa Benjamin Mkapa. Nawakaribisha mashabiki wa...
Hapa chini tumekuwekea orodha kamili ya historia ya ubingwa huo:
*.1965 Sunderland (Simba SC)
*.1966 Sunderland
*.1967 Cosmopolitan
*.1968 Young Africans sc
*.1969 Young Africans Sc
*.1970 Young...
Lazima Kujipongeza kwa kuweza kuanza Ligi kwa kucheza mechi za Ugenini mbili mfululizo kwenye viwanja vinavyotaka aina moja tu kucheza ambayo sio mchezo wa Simba kabisa, ndio maana utaona Wengine...
Tunawaomba wahusika walifanyie kazi swala la hasa pitch mbovu ambazo zimekuwa zikiharibu utamu wa mpira wetu. Standard walau kama ya Kaitaba hivi nchi nzima ingekuwa ni vizuri zaidi na kuweza...
Kuna kitu kimoja kuhusu hii jezi. Mchoro wa hii jezi unaitwa Dazzle Camouflage.
Dazzle camouflage ni mchoro ambao ulikuwa unatumika kwenye vita vikuu vya kwanza vya dunia.
Dazzle camouflage...
habari za sahizi great thinkers.
ni mtazamo tu, kwa ule mpira wa leeds united jana dhidi ya liverpool sidhani kama watashuka daraja msimu huu, na watajiokotea wabovu wengi sana, timu kama...
The Blues have added the veteran defender on a one-year deal with the option of extending for a further season
Chelsea have confirmed the signing of veteran centre-back Thiago Silva as the...
Habari wana jamvi.
Moja kwa moja nikimbilie kwenye mada kwa kuanza na Historia fupi ya klabu ya simba hususa ni kwa eneo lake la kujilinda tangu miaka ya 2000.
Tumeshuhudia simba ikiwa na...
Kesho wako na Yanga, mechi ifuatayo anakutana na Azam, kisha Namungo na baadae anatafuta pointi kwa Coastal.
Mpira hautabiriki ila ninamtabiria mabaya mechi nne (4) mfululizo.
Atapoteza mechi...