CAPO DELGADO
JF-Expert Member
- Aug 31, 2020
- 7,621
- 16,701
Habari wana jamvi.
Moja kwa moja nikimbilie kwenye mada kwa kuanza na Historia fupi ya klabu ya simba hususa ni kwa eneo lake la kujilinda tangu miaka ya 2000.
Tumeshuhudia simba ikiwa na mabeki bora kabisa kwa Takriban miaka 10
Tumwshuhudia Boniface pawasa,
Tumemshuhudia Victor costa Nyumba.
Tumemshuhudia Kelvin yondani kama beki bora wa mwisho mwisho wa klabu ya simba.
Baada ya kuondoka kwa yondani tukashuhidia tatizo kubwa sana la beki ya kati ya simba na hata kujaribu kutumia mabeki wa nchi jirani kama Kenya Uganda Rwanda zimbambwe na Burundi.
Simba imekuwa ikihangaika na mabeki kama Juuko, kanze, Mwanjali, Joseph owino, George owinoTairone silva nk.
Tumeshuhudia wote hawa wakishindwa kufanya vizuri ndani ya kikosi cha simba.
Tumeshuhudia simba ikipoteza kwa magoli ma tano dhidi ya Vita Al ahaly na 4 za vita clabu.
Nk wakati sahihi sasa kurekebisha pale walipo kosea kwa miaka 10 ya karibuni kwenye hii safu ya ulinzi, nilitaman sana simba wapate beki kiongozi mrefu na mpambanaji kama Vicent borsue. Kwa beki iliyopo sasa nahisi tutaendelea kuzishuhudia zile 5za kwenye ligi ya mabingwa.
Simba ilipaswa kufumua mabeki wa kati wote na kuanza upya.