Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

[emoji116]
1 Reactions
8 Replies
2K Views
C&P From mwanaspoti REJEA kichwa cha habari juu baba. Mimi mja wako naomba unipatie ujasiri mkubwa. Wa kuachana na ushabiki wa hizi timu baba. Wewe mwenyewe unazijua vyema baba. Moja ipo hapo...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Kweli Simba na Yanga wana utani ambao wote tumeukuta, lakini wakati huu ambao timu zinaingia kwenye uwekezaji wa kibiashara hazihitaji msemaji kama Manara mwenye utani ule wa kale wa uhasama na...
5 Reactions
17 Replies
2K Views
Ni kitu kinachowezekana, hasa katika hali ya sasa, Kucha za Mo zilizojificha zinaonekana hadharani. Simba original ianzishwe kwa jina la Simba OG, timu ambayo ipo ligi kuu au imepanda inunuliwe...
3 Reactions
22 Replies
3K Views
Barcelona yafungua kesi Mahakami kupinga usajili wa Lionel Messi kujiunga na PSG, wakidai klabu hiyo haiwezi kumsajili mchezaji huyo kutokana na rekodi mbaya ya mapata na matumizi ya klabu hiyo...
4 Reactions
26 Replies
4K Views
Ikiwa imeaanza kwa kusuasua kwenye michezo wa Olympic, Marekani imetwaa kwa mara ya nne mfululizo medali ya dhahabu kwenye michezo ya Olympic kwa kuifunga Ufaransa 87 kwa 82. ====== Team USA...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Baada ya kushuhudia wiki mbili za mashindano ya aina yake katika historia, hatimaye Michezo ya Olimpiki mjini Tokyo nchini Japan imeahirishwa hii leo na kijiti kukabidhiwa kwa Paris, muandaaji wa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
8 August 2021 Dar es Salaam, Tanzania Several topics have been covered including football marketing and sponsorship, stadium management, E-sports and digital platform in football, revenue...
2 Reactions
1 Replies
1K Views
Nimesikia aibu sa na kuona mzee wangu Filbert Bayi akilalamika TFF kwa kuidai pesa za mamilioni kwa kuihifadhi timu ya Taifa. Nawapa onyo wafanyabiashara mnaodanganywa kusaidia timu za taifa...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Kuna hi kauli mtaani huna tena msemaji atakaekuja Kama haji manara Simba wengine wanasema Simba haitafanikiwa kwakuwa haji hayupo Tuanze hapa hivi chukua mashabiki Mia wa real Madrid alafu...
4 Reactions
9 Replies
2K Views
Kama kuna Medali ambayo Taifa tunastahili basi ni Medali ya vipaji vya kuamini miujiza ya kuvuna tusichokipanda. Kama tunavyofanya kwenye tozo, badala Mamlaka kuandaa kwanza Wananchi wenye uwezo...
3 Reactions
64 Replies
5K Views
Tenda wema nenda zako,usingoje shukrani. Ukingoja shukrani utakuja chelewa, Huu ni msemo wa wahenga pia ni sehemu ya mstari wa wimbo wa bendi ya msondo ngoma... Ni msema maarufu sana ambao uko...
5 Reactions
9 Replies
3K Views
haya wana simba tunarudi tena CAs tarehe 1 october, vipi tena babu plujim hans kashtaki madai yake jameni mbona kuna fununu??? 24.09.21 CAS 2021/A/7808 Kayserispor Kulubu Dernegi v. Go Ahead...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
MSHAMBULIAJI Geilson Santana Santos ‘Jaja' kutoka Brazil Amewasili leo kwa ajili ya kufanya majaribio ya kujiunga na klabu ya Yanga SC ya Dar es Salaam. kama kocha Mkuu, Mbrazil mwenzake...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Taarifa rasmi ya Yanga Sc kuachana na magolikipa wake wawili, Metacha Mnata na Farouk Shikhalo. Anayetoa taarifa hii ni Kaimu Katibu Mkuu wa Yanga, Haji Mfikirwa. Je, nini maoni yako kuhusu...
1 Reactions
31 Replies
4K Views
Carlos Stenio Fernandes Guimares"Carlinhos", amewasili nchini Tanzania mchana wa Leo tayari kabisa kwa kuanza kuitumikia timu yake mpya ya Yanga Carlinhos ambaye anacheza nafasi ya Kiungo...
6 Reactions
47 Replies
7K Views
Hatimaye mshamabuliaji Geilson Santos Santana "Jaja" raia wa Brazil leo amesaini mkataba wa miaka miwili (2014-2016) kuitumikia timu ya Young Africans kwa ajili ya michuano mbalimbali ikiwemo ya...
1 Reactions
17 Replies
3K Views
Eti Yanga nao wanasema kuwaa wamepokea ofa za kuwahusu Tuisila kisinda kwenda FAR Rabat Yakuba kwenda zamalek Mukoko kwenda zamalek Unadhani ni kwelii zamalek wanamtaka Yacouba?
2 Reactions
16 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…