Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Siku zingine Wadukuzi na Wanyetishaji wa Taarifa za ndani ( za Siri ) akina GENTAMYCINE tunawaambieni Mambo hapa kwa 99.9% muwe mnatuelewa tafadhali. Ni kwamba Uongozi wa Klabu ya Yanga na...
10 Reactions
49 Replies
6K Views
Soka la Hispania lipo chini ya Shirikisho lao la soka RFEF, ambao wao wana LA LIGA kama chombo huru kinachosimamia Ligi kuu na Daraja la kwanza Sasa kutokana na uhuru huo LA LIGA chini ya Javier...
3 Reactions
7 Replies
2K Views
Kabla ya Cristiano Ronaldo kujiunga na Juventus, Juventus walikuwa na followers Milioni 9 tu, Ndani ya mwaka mmoja baada ya Cristiano kujiunga Juventus wakawa na followers milioni 31, kwasasa...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Video ndani ya Dakika 40 tu Views 6.3M kwenye Twitter. Like him or Hate Him. Messi is the Best kwa nafasi yake.
5 Reactions
12 Replies
2K Views
Kilimanjaro Stars 1 -Chipolopolo 0 Bravo vijana wa Kitanzania http://issamichuzi.blogspot.com
0 Reactions
1 Replies
2K Views
TFF to give Stars 30m/- 2007-10-06 08:24:35 By Oforo Vallentine The Tanzania Football Federation (TFF) has said they will give Taifa Stars players 30m/-. TFF Secretary-General...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Team Ronaldo mlikua mnataka Messi ahame ligi kama Ronaldo leo mmebadilika Tena baada ya Messi kwenda PSG [emoji1787][emoji1787] Aisee eti mnasema kaenda farmers league Basi sawa ligi ya Ufaransa...
3 Reactions
9 Replies
2K Views
Punde baada ya Lionel Messi kutangaza kuondoka Barcelona, baadhi ya Wajumbe walianza kujiuzulu nyadhfa zao ndani ya klabu wakilalamika kusalitiwa na Rais Laporta Wengi wanadai dili la Messi...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Kiufupi ule ubabe wa Yanga aka uto in dhahiri umerejea. Naona wengi sasa wanasimba tunawabeza lakini ukweli tusipoangalia hawa jamaa wanakuja kuchukua mafanikio yetu. Kumbuka tuna wachezaji umri...
4 Reactions
38 Replies
4K Views
Haya Sasa Messi huyooo kabeba kombe akiwa na timu ya taifa Mlikua mnamuona Messi si lolote na wala si chochote kwa C.Ronaldo,kwasababu C.Ronaldo alishinda EURO mkawa mnamponda Messi kwakua...
25 Reactions
194 Replies
12K Views
Ikiwa ya imebakia Masaa kadhaa kabla ya tarehe ya mwisho ya kufanya usajili wa timu zitakazo shiriki michuano ya Afrika msimu ujao ligi ya Misri Epl bado haijaisha na Wala bingwa na top 4...
2 Reactions
24 Replies
3K Views
Hizo Yanga na Simba waachieni kina Mpili na Manara (Waswahili). Bakhresa aliona mbali akaanzisha timu na uwanja wake. Yupo huru kutumia hela yake pasipo majungu yoyote. Yanga na Simba mtapoteza...
19 Reactions
33 Replies
4K Views
Club yangu ya Yanga nmekuwa nikiipenda toka mwaka 1980s wengi wakiwa wadogo ama hawajazaliwa. Nikiwa mwanachama halali mpaka leo hii zaidi ya miaka 40. Naifahamu Yanga kiasi fulani ambacho...
3 Reactions
23 Replies
3K Views
Messi (34) amekubali kujiunga na PSG baada ya kuondoka katika Klabu ya FC Barcelona aliyoichezea kwa miaka 21 Inaelezwa atasaini mkataba wa miaka 2 wa thamani ya kulipwa Paundi Milioni 25 (baada...
3 Reactions
10 Replies
2K Views
Nachukua nafasi hii kukupongeza Ndugu Simbu kwa juhudi ulizoonyesha katika mbio za marathon kwenye michezo ya Olympic kule Tokyo Japan. Hukuweza kupata medali lakini kuwa mtu wa saba kwenye...
7 Reactions
10 Replies
1K Views
mafundi maiko wa usajili wako kazini washajua hiki ni kipindi cha amshaamsha ya vyura vyuranii ,kudadeeki walahi na yale mapoyoyo yao ya media kina Priva na kitenge kikanga yanavyowapamba na wale...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
https://wn.nr/93D4vM
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Atleast hii hela itaingia kwenye hazina ya GSM siyo kama ile ya Tuisila aliyekuwa kwa mkopo pale kidimbwi. Klabu ya Mouloudia Oujda ya nchini Morocco imetuma ofa kwa klabu ya Yanga kuitaka saini...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Kuna anaejua Simba day ya kila mwaka tarehe 8 mwezi wa nane imekuwaje mwaka huu? Imefutwa? Kubadili tarehe? Au kuna kauli rasmi imetoka?
2 Reactions
19 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…