Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

[emoji599][emoji599] BREAKING: Mchana wa leo Yanga wamepokea ofa ya $1m (tsh 2,485,000,000) kutoka Espérance Sportive de Tunis,ili kumpata Mzize. De Tunis wanamtaka Mzize haraka sana,ila kama...
7 Reactions
77 Replies
4K Views
Timu bado zinaendelea kujiimarisha kuelekea msimu ujao kwa kusajili na kuwaongezea mikataba wachezaji muhimu kwenye vikosi vyao. Timu ipi ina safu hatari ya ushambuliaji kuelekea msimu ujao wa...
2 Reactions
16 Replies
2K Views
Kapteni Ibrahim Traoré ambaye ni rais wa Burkina Faso alikutana na magwiji wa soka la Afrika na kufanya mazoezi ya pamoja. Soma pia: Rais wa Burkina Faso Ibrahim Traoré akionesha ufundi kwenye...
1 Reactions
1 Replies
422 Views
Wadhamini wanaongeza madau yao ya kuidhamini Yanga, ongezeko hilo lionekane pia kwenye ubora wa jezi zinazobeba wajina ya wadhamini.
2 Reactions
0 Replies
387 Views
Aisee hii ni beki ya kushoto kutoka Guinea inakiwasha kinoma leo kakiwasha sana game ya SA vs Guinea. Aisee Simba sports club please mleteni huyu jamaa
4 Reactions
27 Replies
1K Views
1. Mambo 10 yasipoanza na uwezo wa Clement Mzize itakuwa sio kweli, leo ameonyesha uwezo mkubwa sanaaaa na Kama angeongeza umakini kidogo tu angeondoka na ball leo. 2. Tanzania Ina viungo wengi...
4 Reactions
18 Replies
2K Views
Nimejaribu kufuatilia mwenendo wa mashindano haya ya CHAN hasa ushiriki wa mashabiki uwanjani, ukweli ni kuwa Tanzania bado sana. Sio tu mashabiki, hata viongozi wenyewe ni kama vile...
12 Reactions
55 Replies
2K Views
Haiwezekani uwanja wa 60k mashabiki hawafiki hata 30k. Serikali ilikuwa sahihi sana kujenga viwanja vya watu 30k Arusha & Dodoma. Kwa kuzingatia hili CAF Wapeleke Mechi zote 2 za Ufunguzi na...
13 Reactions
83 Replies
3K Views
Azam FC imekuwa klabu ya kwanza ya Ligi Kuu Bara kuzindua jezi mpya za msimu ujao (2025/26). Azam FC imezidua jezi ya nyumbani, ugenini na chaguo la tatu. Unatoa asilimia ngapi kwa jezi za chama...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Droo ya hatua za awali ya michuano ya Klabu Bingwa Afrika klabu ya Simba Tanzania imepangwa kucheza na Gaborone United ya Botswana. Mechi ya kwanza Simba itaanzia ugenini. Mbona tuliambiwa...
7 Reactions
11 Replies
1K Views
Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) limepiga marufuku uuzaji wa tiketi kwa mechi ijayo ya CHAN 2024 kati ya Kenya na Zambia kwenye Uwanja wa Kasarani kufuatia machafuko na madai ya utapeli...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Habari.. Kama kichwa cha habari kinavyojieleza jamaa ni bonge la mshambuliaji ana speed,nguvu na akili kubwa sana anapokua ndani ya boksi jamaa ni hatari. Yanga itakapokutana na hii timu huyu...
5 Reactions
30 Replies
2K Views
Moja ya jambo ambalo wengi hamjashtuka lililofanywa na Simba kuanzia mwishoni mwa msimu uliopita waliposaini mkataba na JayRutty hadi usajili wa sasa wa wachezaji wa Mamelodi, ni kuipa pressure ya...
7 Reactions
26 Replies
2K Views
Ubaya Ubwela!!! Leo wazee wenzangu naamini mnakumbuka kikosi hiki kilichocheza fainali ya CAF mwaka 1993. Kwa faida ya vijana wa kileo na mashabiki kindakindaki wa Simba Sports Club watambue hiki...
6 Reactions
35 Replies
3K Views
Yanga wameendelea kudhaminiwa na sport pesa kwa miaka mitatu kwa bilion 21 ============== Klabu ya Yanga Sc leo Jumatatu 11/08/2025 imeingia mkataba wa miaka mitatu (3) na Kampuni ya kubashiri...
1 Reactions
10 Replies
722 Views
Hakika Mpira unalipa sana Baadae Mlale unono 😄🙏 Source Citizen TV
1 Reactions
3 Replies
320 Views
Taifa Stars kuivaa Madagascar leo katika Uwanja wa Benjamin Mkapa Timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, inatarajiwa kushuka dimbani leo jioni kukabiliana na timu ya taifa ya Madagascar kwenye...
3 Reactions
64 Replies
6K Views
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Prof. Paramagamba Mwaluko Kabudi amelazimika kuingilia kati sakata la uchaguzi mkuu wa TFF baada ya Naibu Waziri wake Hamis Mwinjuma "MwanaFA"...
6 Reactions
17 Replies
1K Views
Kenya hawana timu nzuri lkn naangalia hapa washabiki wao mwanzo mwisho wanashangilia, watanzania tusipochukua tahadhari afcon tunaweza kupoteza. Tulipe kodi kwa maendeleo ya nchi yetu
3 Reactions
55 Replies
2K Views
Kura yako unaipleka taifa gani kwenye michuani ya CHAN mdau wa JF? Soma pia: Bado siku chache mno CHAN kuanza lakini Tanzania imepoa, hakuna promo yakutosha, mji haujapendeza kuvutia wageni
0 Reactions
10 Replies
646 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…