Leo Simba Sc inaenda kufanya utambulisho ambao bara la Afrika na mabara ya jirani yataenda kusimama.
Bonus
Mambo anayofanya Peter Banda huko kambini ni hatari mpaka wenzake wanabaki wanashangaa
habari wandugu,
nafikiri now ni time ya hawa wanamasumbwi ambao wanafanya vzr, watoane jasho ulingoni, tujue nani ni nani maana wakina cheka ndo hvy washapotea,
mapromota tupieni jicho kwenye...
Wakuu Taarifa Zilizopo ni Kwamba Simba wanataka mechi zao za Ligi Kuu zirushwe supersport badala ya Azam TV.
Taarifa ni Kuwa Azam wameambiwa kama wanataka Haki za matangazo Kwa Simba inabdi...
Kuna fununu za chini ya kapeti kuwa dogo kashawishiwa na wakala wake anaye msimamia kuwa avunje mkataba kwa maelewano ya pande kuu mbili ili kijana apate kujiunga kwenye upande atakao pata maslahi...
Huyu kijana kwa kweli hana uwezo wa kushinda pambano lolote la ndondi kama kunakuwa na uamuzi wa haki , hajui kupigana , ni vema akatafuta cha kufanya kabla hajauawa ulingoni .
Leo kwenye Vitasa...
Jana Azam TV na promoter walio dhamin mapambano sikuona kama walitaka kukuza Mchezo wa ngum na kuuendeleza Bali kuuharibu kabisa
Mapambano ya Jana Hasa lile la Mwisho la Mfaume Mfaume kila mtu...
Habari njema kwetu mashabiki wa Rivers utd ya Nigeria, tumemsajili striker refu linalotisha liitwalo Nyimwa Nagua kutoka klabu kubwa ya kano pillars
hili jamaa liliwahi kupiga kona na kuiwahi...
NAHODHA wa Yanga, Bakari Mwamnyeto ameiambia Mwanaspoti kwamba kama kuna wakati Yanga imesajili timu bora basi ni sasa.
Mwamnyeto ambaye sio mtu wa kuongea sana alisema karibu idara zote...
Na K.S.K
Heshima yenu wana jamvi,
binafsi nimefurahishwa sana na ushindi wa kiduku kwa mara nyingine tena mbele ya dulla mbabe, na baada ya kiduku kubeba crown kumekuwa na hoja nying ya team...
Wale wazee wa mtanange match week 2 Ina endelea leo, vipi umejipangaje? Tuendelee kupeana abc salah nimempa ucaptain leo..
NB: mods mnafuta uzi wetu wa fantasy unashida gani? Nini maana ya jamii...
Leo kama kawa nitakuwa nawaletea updates za pambano hili ambalo kimsingi mmoja ataondoka na gari. Aidha kutakuwa na mapambano kadhaa ya utangulizi.
===
TWAHA KIDUKU AMTWANGA DULLAH MBABE...
LUKAKU ATAKA JEZI ILIYOWAPONZA WENGI CHELSEA
LONDON, ENGLAND. WAKATI Romelu Lukaku anatua Stamford Bridge akirudi kuichezea Chelsea kwa awamu ya pili, kwenye tovuti ya Ligi Kuu England...
Wanasimba tuamke simba yetu inadhalilishwa na matapeli wanaojiita wawekezaji.
Kwa kuwa simba ni timu ya umma sio mali ya mtu binafsi km mwekezaji anavyojaribu kuwahadaa mashabiki mbumbumbu. Ni...
Siyo lazima Simba SC ikienda mahala na Timu zingine Ziige wakati hata Uwezo wa Kipesa hawana.
Simba SC ipo Morocco ya Posta Mpya ila kuna Watu wapo Morocco ya Mlandizi na Wachezaji furaha hawana...
Kwa vyovyote vile kuondoka kwa Moquissone na Chama kumeiumiza Simba, no doubt.
Miquissone alikuwepo na Banda alikuwepo lakini mmoja kaenda Al-Ahly na mwingine kaja Simba. Tusidanganyane, Banda...
Hakika sijawahi kuona upendeleo kama huu kwenye mchezo huu wa ndondi popote, nimeangalia hili pambano nimeona aibu sana kwa matokeo ya uongo kama haya.
Kwa haya yanayofanyika, nchi hii...
TWAHA KIDUKU: MPIGANAJI BORA WA NDONDI KWA SASA TANZANIA.
Leo 21:30 hrs 29/08/2020
Twaha Kiduku mpiganaji mtulivu,mchokozi wa ngumi zitakazo kuweka kwenye kumi na nane yake ambayo itakukutanisha...
Dullah Mbabe atashinda crown leo,Gari halitoenda Morogoro,wale tunawapelekea treni ya mwendokasi.Poleni sana ndugu zangu wa Morogoro,taratibu naomba msivunje TV
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.