Rivers United yamsajili Nyimwa Nwagua

njaakalihatari

JF-Expert Member
Feb 12, 2019
4,084
8,663
Habari njema kwetu mashabiki wa Rivers utd ya Nigeria, tumemsajili striker refu linalotisha liitwalo Nyimwa Nagua kutoka klabu kubwa ya kano pillars

hili jamaa liliwahi kupiga kona na kuiwahi kabla hajafika kwenye six yard likapiga kichwa lilishawahi kupiga shuti likavunja goal post, kuna kipa wa palteau utd alijifanya mbishi kudaka shuti lake akavunjika mkono na figo iliharibika kabisa. KARIBUNI TZ RIVERS UTD

Tarhe 11 pale uwanja wa taifa Rivers utd tuna jambo letu. GOD BLESS NIGERIA GOD BLESS RIVERS UTD

riverrr.jpeg
 
Ni kweli kabisa ni mechi ya mazoezi tu hiyo hivyo kishingo kaachiwa afunge tu
golini yuko ally salim hata manaula hayuko benchi
Duh asa kwanini apangwe Ally Salim peke yake wakati ki kawaida inatakiwa uwanjani kuwe na wachezaji 11 ndani. Sikujua kama wamechezesha mchezaji mmoja dhidi ya wachezaji 11 wa Rabat
yes simba ni team kubwa yuko aly salim vs first 11 ya kuku kishingo
 
golini yuko ally salim hata manaula hayuko benchi

yes simba ni team kubwa yuko aly salim vs first 11 ya kuku kishingo
Mkuu huyu manaula ni combination ya Manara na Manula ama ni mchezaji mpya aliyesajiliwa kwenye dirisha hili?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom