Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Binafsi sioni tija ya kutumia mbinu/propaganda hizi ili kuwaondoa mchezoni Rivers UTD. Naziona kama ni propaganda za kizamani sana. Cha kushangaza mmeamua kutumia midomo ya upande wa pili ili...
3 Reactions
6 Replies
1K Views
Matapeli ya GSM baada ya kuitaka simba 2015 yakashindwana yalihamia Majimaji yalikuwa yakihaha kufunika uozo wao wa home shopping centre maana baada ya kudhamini kipindi cha ze comedy TBC waliona...
4 Reactions
30 Replies
4K Views
"Naomba Mdau yeyote mwenye zawadi kwa Taifa Stars awasiliane na Wizara ili tutambue zawadi ya mchango wa hamasa kwa Taifa Stars, hongereni sana Taifa Stars na Watanzania wote kwa hatua hii...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Kama kawaida mpiga madili makini muhindi mwamedi aliyejimilikisha makolo FC na wafuasi wa makolo mambumbu wote ni kama wake wa mwamedi. Huyu jamaa ndiye aliyeziangusha hizi timu mbili singida...
5 Reactions
49 Replies
3K Views
Amemwahidi atafanya makubwa zaidi ya leo.Anaamini yeye eti ndiye kachangia goli la leo kwa busu alilotoa. Unaweza kuta huyu msukule anaimani potofu kuhusu hali yake kwa kudhani huwa ina ka baraka...
6 Reactions
18 Replies
2K Views
Kama kawaida. Nabii Demigod niko Mjengoni na Swali jingine. Ratiba LigiKuu Congo yaani LinaFoot imetoka leo. Inaonyesha kuwa TP Mazembe wanamchezo wa Ligi katika siku hiyo.? Je Simba wanacheza...
1 Reactions
29 Replies
4K Views
Tabia ya kutokuwa wavumilivu ndo inaiponza klabu yetu. Huyu jamaa ni striker mzuri sana. Alipita Yanga ya 2015 na akina Bossou Jana kaisaidia Liberia kwa kufunga bao pekee dhidi ya Central...
1 Reactions
23 Replies
2K Views
Simba imepeleka majina ya wachezaji 31 CAF. Makipa wanne ambao ni chaguo lao la kwanza Aishi Manula, Benno Kakolanya, Jeremiah Kisubi na Ally Salim katika orodha hiyo. Safu ya ulinzi ina mabeki...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Seriously, hivi hawa tff wana matope kwenye vichwa vyao ama?? Ni dunia ya wapi ratiba ya ligi bado haijatoka wiki chache kabla ya ligi kuanza?? Au wanataka ligi ianze december? Ratiba za EPL...
2 Reactions
13 Replies
2K Views
[emoji3514] invité par Simba pour un match international de haut niveau le 19/09 ... Notons que le même 19/09 nous aurons match de VL1 . Nous avons un effectif de beaucoup des joueurs il y a...
2 Reactions
41 Replies
4K Views
Baada ya semaji la nchi bugatinho kuwatawdhalisha kolo utelembwe kutofua shumiz za vunja price kwa quality mbovu madhara yake yashaanza kuonekana kabla ya kuanza kufuliwa,zikifuliwa si zitakua balaa
12 Reactions
81 Replies
8K Views
Nimeangalia pambano hapa huyu bondia wa namia ameonekana kuto kujiamini kabisa. Kakosa mbinu. Kakosa uvumilivu, alafu kwanini refa kamaliza mapema angemuacha apigwe ngumi za uso na mwakinyo ili...
9 Reactions
22 Replies
2K Views
Namshauri AACHE Tabia yake ya kubebwa na marefa,,la iko siku atakuja fia ulingoni Ndio maana anamkacha Twaha kiduku
0 Reactions
33 Replies
4K Views
Bondia Hassan Mwakinyo amesema Kwamba hawezi kupigana kugombania gari kwasababu hana shida ya gari kwani ana magari matatu na kati ya hayo kuna moja anatumia kupeleka Mbwa wake Baharini kuogeshwa...
7 Reactions
44 Replies
6K Views
Mkurugenzi wa Mohamed Enterprises, Mohamed Dewji ameamua kujitosa kupimana ubavu na Bakhresa katika ligi kuu ya Tanzania kwa kuamua kuinunua timu ya Mbagala Market ambayo imepanda ligi kuu...
0 Reactions
14 Replies
7K Views
Wadau za Jioni. Taarifa za ndani ambazo bado hazijawafikia walio wengi ni kwamba Barua za mialiko zinagonga mwamba huko. Jitihada za Tembo lakini Matokeo kisoda. Ni nini shida imewakumba...
1 Reactions
89 Replies
6K Views
Wellcome for updates about this match from beigning to the end of this match. Starz will win or draw at the home? Madagascar starting XI Update Tanzania moja dakika ya 3 erasto kwa mkwaju...
6 Reactions
140 Replies
13K Views
Ni vema ukafahamu jambo hili mapema ili usije ukapata matatizo ya kiafya, kwamba timu iliyokuwa inapigania ubingwa leo hii inaburuza mkia , hii ni baada ya game 3 tu. Wachambuzi wanaitabiria...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Timu ya mpira wa miguu ya ITALY ambao wamewahi kuchukua kombe la dunia mara nne (wakilingana na GERMANY na wakiwa nyuma ya BRAZIL ambao walichukua mara tano) wameshindwa kufuzu kushiriki kombe la...
2 Reactions
8 Replies
3K Views
Klabu ya DTB inayoshirki ligi daraja la kwanza imemsajili mchezaji Nicholaus Gyan ambaye amewahi kukipiga Simba Sc. Gyan anaenda kuungana na akina Tambwe na Juma Abdul ambao nao wamesajiliwa...
5 Reactions
15 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…