Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Upande wa utetezi katika kesi ya kughushi inayowakabili viongozi watatu wa klabu ya Simba wameomba mahakama ya hakimu mkazi Kisutu kuahirisha kesi hiyo kutokana na kifo cha Zacharia Hans Poppe...
2 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari. Mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni. Kijana kinda mmdogo mwenye miaka 21 aliyesajiliwa kutoka Biashara United leo umeonyesha ubora mkubwa sana pamoja na timu yetu Young Africans...
6 Reactions
23 Replies
3K Views
Kumezuka kamjadala uchwala toka kwa waandishi uchwala kueneza habari za kipuuzi kuwa kocha nabi kapewa mechi 2, wapuuzi hawa wanajitahidi kupandikiza hiyo propaganda ili kumuondelea utulivu na...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Yes msemaji wao alipigwa na kitu kisichojulikana na wachezaji wao watano wa kikosi cha kwanza walikutwa na corona masaa mawili kabla ya mechi ingawa siku tatu zilizopita walipimwa mara mbili na...
3 Reactions
34 Replies
4K Views
Gwiji wa zamani wa Bayern Munich na timu ya Taifa ya Ujeruman bwana Gad Mullar amefariki dunia Jana akiwa na miaka 75. Miongoni mwa kumbukumbu anazokumbukwa nazo ni Kufunga goli 34 kwenye mechi...
5 Reactions
6 Replies
2K Views
Kwa mujibu wa gazeti la Mwanaspoti ni kwamba uongozi wa Klabu ya Yanga umempa mechi mbili (2) kocha mkuu wa kikosi hicho Nasreddine Nabi , Mechi hizo mbili ambazo amepewa kocha Nabi ni ile ya...
9 Reactions
51 Replies
5K Views
Imetokea kwenye majibizano kabla ya mechi wakati River United wakilazimishwa kuingia vyumba vya kubadilishia nguo uwanjani. River United waligoma kuingia kukiwa na tetesi za upuliziaji wa dawa...
9 Reactions
48 Replies
48K Views
Kocha wenu anadiploma mleteni afundishwe na Profesa wetu,aje na vyeti vya waajiri wake. Kocha anajua,kikosi kipo vizuri. Baada ya mechi Sasa Nabi hajui kupanga kikosi unamuwekaje Bangala benchi...
17 Reactions
51 Replies
5K Views
Kama ni ajali ya kweli iwe na picha, vinginevyo tukutane insta atueleze vizuri yule mganga wao wa Bagamoyo safari hii hawakumlipa pesa yake yote, au amesafiri.
9 Reactions
23 Replies
3K Views
Kwa kadri ya kumbukumbu zangu huyu ndio kocha wa kiwango cha chini mno kuwahi kufundisha timu hii. Baada ya kutandikwa nyumbani kwao bao 4 na PSG namtabiria kufukuzwa.
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Katika hali ya Kushangaza na iliyojaa Upuuzi kama si Uduni wa Akili Klabu ya Yanga imepanga kwenda nchini Nigeria na Msafara wa zaidi ya Watu 50 wenye Wachezaji, Waganga wa Kienyeji, Wapishi...
1 Reactions
4 Replies
899 Views
Wakuu ukweli lazima usemwe kwa sasaman united wanachokosa ni kocha tu Ole Gunnar sio kocha hata manyema hawezi fundisha kama wanataka kubeba kombe msimu huu basi wamtimue kocha wao.
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Kiherehere chenu cha Kujitutumua nanyi kwenda nchini Morocco Kuwaiga Simba SC ili mkae Siku 10 na mkaa Siku 5 tu Kifurushi cha Kisinda kikaisha kilitoka wapi? Aliyewaambieni mfanye Usajili wa 75%...
11 Reactions
20 Replies
3K Views
Kwa anaejua mahala huyu anaweza enda baada ya kufurushwa huko alikojibanza kwa kimvuli cha usemaji wa timu
8 Reactions
32 Replies
5K Views
Manchester United is delighted to confirm that the club has reached agreement with Juventus for the transfer of Cristiano Ronaldo, subject to agreement of personal terms, visa and medical...
4 Reactions
43 Replies
7K Views
1: ROONEY vs DROGBA vs AGUERO 2: LAMPARD vs SCHOLESY vs GERRARD 3: TERRY vs FERDINAND vs SOL CAMPBELL 4: OBLAK vs De GEA vs COURTOIS 5: EVRA vs ASHLEY COLE 6: MARCELO vs LAHM 7: XABI ALONSO...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Kwenye list ya mabondia bora duniani aliyomo mwakinyo, why kina paciao, froyd maywather hawamo? Kupitia jukwa hili, naamini majibu ntayapata
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Wakuu kuuliza si ujinga je ni vigezo gani hutumiwa na hizi app zinazoenesha livescore (sanasana flashscore) kupanga msimamo wa ligi pale timu zinapokuwa hazijacheza hata raundi moja Yaani zote...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Binafsi nimeona haya Mosi: Yanga walianza kucheza kimasihara, na kuwachukulia poa Rivers united, walicheza kama vile wanacheza ndondo. Nilirudi sasa kwenye ufundi Rivers walianza na Viungo 5...
7 Reactions
16 Replies
3K Views
Kwanza niweke wazi mimi ni shabiki WA Yanga. Jana nimeangalia Ile mechi yote nikagundua yafuatayo kuhusu wachezaji wetu. 1. Mukoko: huyu kiungo maridadi nmegundua anaonekana kama Hana furaha kbs...
4 Reactions
26 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…