Kocha wa Barcelona Ronald Koeman kutimuliwa?

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
116,440
215,212
Kwa kadri ya kumbukumbu zangu huyu ndio kocha wa kiwango cha chini mno kuwahi kufundisha timu hii.

Baada ya kutandikwa nyumbani kwao bao 4 na PSG namtabiria kufukuzwa.
 
Kocha mzuri

Shida Barca kuna wachezaji wanapewa heshima wasiostahili.

Kama Gerald Pique ataweza vipi kumkaba Mbappe?Kageuzwa uchochoro ndo sababu wamefungwa.

Barca Pique wanam treat kama someone special Kwa sababu anatoka Catalan.

Wakati Hana ubavu wa kukaba kina Mbappe Kwa sasa.

Ukabila ndo chanzo cha timu kufungwa jana
 
Nakubaliana na wewe, kwenye uzuri wa kocha, shida ya Barcelona msimu huu ndo ulikua wa kuanza kutengeneza timu,,nalo limeshindwa kufanyika kwa sababu ya corona timu haina fedha.

Hapo kwenye kunkubatia Pique kwenye game ya Jana sikubaliani nawe, baki anayetegemewa saizi pale barca ni Arouja dogo ni majeruhi na dogo mwingine ni majeruhi.

Pique ametoka kurudi na hii Ndio mechi yake ya kwanza, Umtiti na Lenglet wote wanatumia left foot uwezi kuwaanzisha kwa pamoja. Ko Pique ilikua option ya mwisho kwa jana. Uwezi kujaji ubovu wa kocha kwa kikosi kama kile. Apewe hela aingie sokoni
 
Kumbukeni pia timu IPO kwenye uchaguzi kuna hujuma kati ya makundi, yanayotaka kuweka mgombea wao,next ni financial situation ya club kwasasa.
 
Barca washajichokea aisee.
Barca wakupigwa 4 tena wakiwa nyumbani na Baba yao Messi akiwemo!!
 
Kocha mzuri

Shida Barca kuna wachezaji wanapewa heshima wasiostahili.

Kama Gerald Pique ataweza vipi kumkaba Mbappe?Kageuzwa uchochoro ndo sababu wamefungwa.

Barca Pique wanam treat kama someone special Kwa sababu anatoka Catalan.

Wakati Hana ubavu wa kukaba kina Mbappe Kwa sasa.

Ukabila ndo chanzo cha timu kufungwa jana
Tangu Bayern, hii timu ilihitaji total overhaul kwenye defence.
Wachezaji Kama Clement Lenglet, Gerald Pique, Jordi Alba na Sergio Busquet Kwa sasa walitakiwa kuondoka wakafanye shughuli nyingine. Unapowapanga wote wanne katika mechi moja, tena big mechi hii ni Sawa na ki comit suicide.
Mocha anaweza kubaki sababu timu ipo kwenye transition, na kutokuwa na uongozi mpaka sasa nayo ni issue.
 
Nakubaliana na wewe, kwenye uzuri wa kocha, shida ya Barcelona msimu huu ndo ulikua wa kuanza kutengeneza timu,,nalo limeshindwa kufanyika kwa sababu ya corona timu haina fedha.

Hapo kwenye kunkubatia Pique kwenye game ya Jana sikubaliani nawe, baki anayetegemewa saizi pale barca ni Arouja dogo ni majeruhi na dogo mwingine ni majeruhi.

Pique ametoka kurudi na hii Ndio mechi yake ya kwanza, Umtiti na Lenglet wote wanatumia left foot uwezi kuwaanzisha kwa pamoja. Ko Pique ilikua option ya mwisho kwa jana. Uwezi kujaji ubovu wa kocha kwa kikosi kama kile. Apewe hela aingie sokoni
Nakubaliana nawe kuwa kocha si tatizo sababu timu ipo kwenye transition.
Kocha alikuwa na option ya kuanza na Mingueza pia badala ya Pique. Pique, Alba, Lenglet na Busquet ni tatizo kwenye defence.
 
Yaani we mkuu mpira sijui huwa unauelewaje! unachowazaga makocha kufukuzwa basi,timu zingine zina matatizo zaidi ya kocha,uzuri wazungu hawawazi km wewe
 
Yule kocha alichukuliwa kwa ajili ya msimu mmoja tu, next season wanamchukua Xavi Hernandez toka huko Qatar akawafundishe.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom