Japo usiku wa leo nimeota wekundu wa Msimbazi SSC ameifunga Orlando 2-1, ambapo goli la pili lilifungwa katika dakika 80; Hii ndoto ninaamini kabisa ni miongoni mwa ndoto za SHETANI. Hiki kitu...
Habari!
Haya ni maoni yangu baada ya kufanya uchambuzi mfupi.
Huyu jamaa Haji Manara huenda nyota ya mafanikio iko mikononi mwake au kuna siri muhimu juu ya mpira wa miguu Tanzania anazijua...
Je,
1. Refa ndiyo alikipanga Kikosi kile cha wasiwasi cha Simba SC Jana?
2. Refa ndiyo alimwambia Mshambuliaji wetu Mpuuzi Chris Mugalu acheze Faulo za Kipumbavu ambazo zilitugharimu Kiufundi...
Kwanini Simba SC kila mara inapoingia michuano ya Africa, peak yake kubwa inakuwa ni ROBO FAINALI tu, why ? Baada ya hapo tunaishia kusema BAHATI haikuwa yetu, na Inshallah Inshallah nyingi.
Je...
Nafikiri Simba kuondoshwa kwenye michuano lilikuwa ni suala la muda tu kwa sisi tunaoujua mpira kiufundi tulijua mapema kwamba mwisho wa Simba ni hapo wasingeweza kutoboa kwa namna yoyote vile...
ID yake nimeisahau ila nikiikumbuka nitaitaja hapa au wale wanaoijua wataitaja muda si mrefu kwani ni Maarufu mno.
Nakumbuka alianza kwa kusema ( tena kwa Kujiamini kabisa ) kama ilivyo kawaida...
Mchambuzi mkongwe wa masuala ya mpira Shaffih Dauda amesema haya kupitia mtandao wa kijamii wa Twitter “Hatuna timu yenye uwezo wa kubeba ubingwa wa Afrika, kwenye nyanja zote, huo ndio ukweli...
Humu kuna hesabu za uongo na kweli watu wakipeana imani kuwa simba ina uhakika ya kuanzia raundi ya pili kwasababu anashika nafasi ya 12 hivyo ana uhakika wa kuchukua nafasi ya pyramid na Berkane...
1. Kupewa kadi nyekundu kwa kocha Nasri Nabi kwa kulalamika mchezaji wake kukanyagwa na Kelvin Yondani mwamuzi sijui anajua kifaransa au kiarabu? Ndizo lugha anazo tumia Nabi alizotumia kulalamika...
Siipendi Simba na mambo yake yote na huo ndiyo ukweli wangu.
Kwa sababu hiyo maombi na sala zangu nikuwaombea mabaya na Mungu aibariki Orlando iweze kupata ushindi na iwatowe Simba kwenye...
Na GENTAMYCINE najua ili 'Kutuzuga' zaidi na Wawahadae Majuha (Mazuzu) wengi huyu Mchezaji ataambiwa ama ajifanye Kaumia Mechi yetu ya Kwanza na Orlando Pirates FC tarehe 17 April, 2022 au acheze...
Atacheza na Orlando Pirates, mechi moja Dar na nyingine South Afrika.
Then atarudi kutafuta nafasi ya pili katika Ligi Kuu maana ya Yanga hili Kombe mwaka huu ni letu. Hilo halina mpinzani...
Mashabiaki wa simba ni watu wasioeleweka,.
Kishindwa kwenye ligi yetu,utawasikia akili zetu zipo kimataifa zaidi.
Kuanzia kesho utawasikia hasira zetu tutazimalizia kwenye ligi ya NBC.
NASAHA...
Kamati ya nidhamu ya TFF imewafungulia mabingwa wa soka wa Tanzania,Yanga kutoka katika adhabu iliyokuwa imepewa na TFF kufuatia Yanga kutopeleka timu uwanjani katika mchezo wa kombe la Kagame...
wakati mnashangilia points za mchongo mnazopewa bila jasho kumbukeni timu mnazozifanyia uchafu hamjacheza nazo kwao.
Prison,Namungo,Coastal,mbeya kwanza,geita
Malipo ni hapa hapa hatutaki...