Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Leo jumapili 22/05/2022, dirisha la EPL litakuwa linafungwa huku bingwa akiwa bado hajapatikana. Man City na Liverpool watakuwa wanawabia ubingwa. Huku kukiwa na tofauti ya point moja tu. Man...
2 Reactions
42 Replies
3K Views
Wakati Yanga akihitaji point nne tu kutangaza ubingwa huku ikibaki michezo mitano kukamilisha ligi kwa timu zote mbili, ninependa kujua timu zilizobaki kucheza na Yanga na zile zitazocheza na Simba.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wameshinda mechi tatu tu (dhidi ya Dodoma Jiji, Coastal na ile dhidi ya KMC pale Tabora). Wapinzani wao wakubwa (Yanga) wameshashinda mechi tisa nje ya Uwanja wa Mkapa msimu huu. Nini...
4 Reactions
15 Replies
1K Views
Kamati ya Maadili ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) imekutana leo Mei 20, 2022 kusikiliza mashauri yaliyowasilishwa yakiwahusu Ofisa wa Yanga, Haji Manara na Mtendaji Mkuu wa Simba, Barbara...
2 Reactions
50 Replies
5K Views
Ajabu sana aisee makanjanja na utopwinyo kumzodoa Clatous chama kwamba alikosea kuondoka Berkane kisa wameshinda confederation cup huku wakisahau jamaa jina lake lipo miongoni mwa watakaopokea...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Wakuu Habari ya Jumapili. . Naomba Kujua kwamba ni Kiasi Gani Bingwa Wa Msimu Huu atakipata Kutoka Kwa Mdhamini Mkuu Wa Ligi. . Nimeamgalia Hivi orodha ya fedha atakayoipta Yanga kama Atakuwa...
1 Reactions
9 Replies
8K Views
Mabao ya Mayele, Said Ntibanzokiza ‘Saido’ na Dickson Ambundo yalitosha kuipeleka mapumziko Yanga ikiwa kifua mbele kwa mabao 3-0. ⚽️' 34, F Mayele ⚽️' 39, S Ntibazonkiza ⚽️' 44' D Ambundo...
3 Reactions
176 Replies
11K Views
Simba imeshuka uwanja wa ndege ikiwa na mchezaji Triple C ambaye ilidaiwa kuwa na ugomvi na kocha wake Pablo, hata hivyo cha ajabu na cha kushangaza Chama alikuwa ameficha uso asionekane, lakini...
3 Reactions
20 Replies
3K Views
Huwa ninaona wachambuzi wetu wa soka wanachokiongelea mara nyingi sio sayansi ya mpira. Nammiss sana Dr Leakey Abdallah kwa vile simuoni mara kwa mara katika kazi hii aliyoifanya vizuri mno kiasi...
5 Reactions
7 Replies
826 Views
By Masau Bwire More by this Author USHIRIKINA na uchawi katika soka la Tanzania kama siyo Afrika unafanyika karibu timu zote - iwe klabu au timu za Taifa ni kawaida wote wanaamini bila...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Naomba tukumbushane. Watu tumeanza kusahau. Naanza: 1. Wizard SC 2. 3.
6 Reactions
20 Replies
2K Views
Nimekuwa nikiona mijadala mbalimbali ikiendelea hapa wakishindanishwa magolikipa diarra na Manura kwamba nani ni bora, Naweza kusema golikipa Djigui diarra kuna vitu vingi sana kamzidi manura...
13 Reactions
27 Replies
5K Views
Vijana wengi mtakuwa hamna kumbukumbu ya huu msimu. Yanga ilikubali kufungwa na Simba mechi ya mwisho ili simba isishuke daraja na kwa kufungwa huko Yanga ikakosa ubingwa. N.B kwa new school aka...
19 Reactions
48 Replies
4K Views
Droo ya 3-3 dhidi ya Brentford na 2-2 dhidi ya Brighton umehitimisha juhudi zao kuelekea ubingwa wa epl msimu huu!Liverpool wasahau kabisa kwa uzembe waliuonyesha!! Chelsea ni timu iliyokamilika...
7 Reactions
48 Replies
5K Views
Tuambie kwa mtazamo wako, mchezaji gani anastahili tuzo ya mchezaji bora wa msimu? Mimi naenda na Son wa Spurs
5 Reactions
16 Replies
2K Views
Ndio hivyo ukweli lazima usemwe.. Licha ya Mkoa wa Mbeya kuwa na mchango mkubwa kwenye michezo mbalimbali ikiwemo soka, ukweli ni kwamba umekuwa unatengwa na TFF... Licha ya kuwa na timu Kati ya...
1 Reactions
39 Replies
3K Views
unakumbuka awamu iliyopita Mr Membe alipokuwa anatakiwa ale shavu la ukatibu mkuu jumuiya ya madola jina likaondolewa na host country yaani wakubwa wa awamu ya tano? Basi hayo yamejitokeza kwenye...
6 Reactions
47 Replies
4K Views
YANGA ina dakika 270 tu za uwanjani za kupeleka Jangwani taji lake la 28 la Ligi Kuu Bara na kocha wa vinara hao, Nasreddine Nabi ameitaja Juni 22 kuwa ndio siku ya kukamilisha furaha ya Wananchi...
5 Reactions
13 Replies
2K Views
Leo imetusuliwa ngoja tusubiri maelezo zaidi
3 Reactions
74 Replies
11K Views
Kwa yale aliyoboronga mechi ya jana leo tokea asubuhi redio karibu zote na mijadala mingi ya kumkosoa imeibuka na kuendelea hadi mida hii karibu katika kila kipidi cha michezo Ni wakati sasa...
1 Reactions
14 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…