Clatous Chota Chama yumo kikosi cha Simba kilichowasilia Mwanza kuikabili Geita

Mwishokambi

JF-Expert Member
Nov 23, 2020
303
1,158
Simba imeshuka uwanja wa ndege ikiwa na mchezaji Triple C ambaye ilidaiwa kuwa na ugomvi na kocha wake Pablo, hata hivyo cha ajabu na cha kushangaza Chama alikuwa ameficha uso asionekane, lakini mitembeo yake iliwafanya watu wambaini mapema, sijajua alikuwa anajificha kwa lengo lipi.

Simba wamebainj gemu na yanga nusu fainali ngumu sana, inabidi Chama awepo tu, na kuna uwezekano hata Morrison akapelekwa huko.
 
Wawepo tu wote,hatutaki visingizio
 
Kwaiyo ni Utopolo tuwafanyeje kwa Uzushi na Kuzua eti Triple 'C' Kauzwa China..!
Ninaye mmoja hapa niruhusu nimpe Japo Konzi.!
 
unaambiwa chama alimpiga vichwa pablo siku ya mechi na utopolo wakati wa halftime...halafu kuna milions 300 anwadai simba maana hela ya kujitoa Berkane aliitoa mfukoni kwake kila siku anashinda ofisini kwa Moo jana kampiga mangumi secretary wa Moo alimjibu kunya, leo asubuhi pia keshatia timu ofisini kwa Mo anadai hela yake, hayuko mwanza.
 
Kuna mtu anaitwa George Mpole huko GGM wameona wasije kuzidisha aibu
Umekubali kwamba Mpole ni zaidi ya huyo Mayele? Basi ,usiwe na shaka Tutamwachia mpole apige goli zake 2 huku simba ikishinda 4 kwa 2 ili muandamane kwenda lkulu kwa mama kuuliza kwanini mpole awe kinara wa ufungaji badala ya mayele
 
Back
Top Bottom