Kwa uzembe wa liverpool msimu huu!Nawapa chelsea Ubingwa wao!

RAISI AJAYE

JF-Expert Member
Oct 29, 2019
2,800
2,000
Droo ya 3-3 dhidi ya Brentford na 2-2 dhidi ya Brighton umehitimisha juhudi zao kuelekea ubingwa wa epl msimu huu!Liverpool wasahau kabisa kwa uzembe waliuonyesha!!
Chelsea ni timu iliyokamilika kwa kila idara!Nawakabidhi ndoo yao!!
Man utd wana mabosi mabogasi kabisa hivi Ole anafanya nini pale?hadi mnamwacha Conte anaenda spurs??????Man city msimu huu siwapi nafasi ya ubingwa wa epl wana tatizo la mentality!!
Klopp ajikite kwenye Uefa labda atabeba lakini kuna Bavarians wako fiti kinoma noma!!
Mentality monsters wamekua the opposite!!
 
Ladder 49

JF-Expert Member
Dec 19, 2017
5,503

Mkuu hujui mpira wewe.

Unaonekana unafata upepo unakoenda na baadae utabadilika Chelsea kuongoza ligi kwa point 3 Wewe ndio unaona watachukua ligi?

Chelsea haina wachezaji wakuwapa ubingwa wa Epl mkuu ni swala la muda tu.

Ratiba ya chelsea mechi tatu za mwisho amecheza na atacheza na timu tatu za mwisho kwenye ligi sasa wewe ukiona chelsea anashinda unaona ndio mabingwa hao.

Timu Liverpool pia huijui vizuri wewe unaangalia mpira kwenye livescore halafu unakuja kupiga kelele huku.

Hivi unakumbuka liverpool mara ya mwisho kufungwa lini?

Tunaifadhi hayo maneno yako.

Ila unavyoonekana hui pendi Liverpool na wewe sio msema kweli.

Bayern hao wenyewe wanawaogopa Liverpool

Unakumbuka na ubora wao walifanywa nini hapo Allianz arena na Liverpool akaenda kuchukua ubingwa.

Liverpool itachukua ucl na Epl.

Usiache kuangalia mpira kwenye livescore na kujakuwaongopea watu .
 
Mwakyeja

JF-Expert Member
May 1, 2015
617
500
Umeandika Nini na wewe quality ya wachezaji wa Chelsea na Liverpool chambua vizuri usiweke ushabiki sana liver na Chelsea wamekutana msimu huuilikuwaje
 
  • Thanks
Reactions: _ly

Mbaga III

JF-Expert Member
Jan 25, 2019
2,415
2,000
U
Mkuu hujui mpira wewe.

Unaonekana unafata upepo unakoenda na baadae utabadilika Chelsea kuongoza ligi kwa point 3 Wewe ndio unaona watachukua ligi?

Chelsea haina wachezaji wakuwapa ubingwa wa Epl mkuu ni swala la muda tu.

Ratiba ya chelsea mechi tatu za mwisho amecheza na atacheza na timu tatu za mwisho kwenye ligi sasa wewe ukiona chelsea anashinda unaona ndio mabingwa hao.

Timu Liverpool pia huijui vizuri wewe unaangalia mpira kwenye livescore halafu unakuja kupiga kelele huku.

Hivi unakumbuka liverpool mara ya mwisho kufungwa lini?

Tunaifadhi hayo maneno yako.

Ila unavyoonekana hui pendi Liverpool na wewe sio msema kweli.

Bayern hao wenyewe wanawaogopa Liverpool

Unakumbuka na ubora wao walifanywa nini hapo Allianz arena na Liverpool akaenda kuchukua ubingwa.

Liverpool itachukua ucl na Epl.

Usiache kuangalia mpira kwenye livescore na kujakuwaongopea watu .
Umeandika nini..? Liverpool.katoka draw na Chelsea pale anfield tena chelsea akiwa pungufu mtu mmoja ilikua liverpool apigwe kama zote sema ile kadi nyekundu ya james sasa hao.liver wakufugwa na brentford wabebe ubingwa...? Labda wa uji . Akija Stamford bridge tunamkamua saaana akienda kule et hadi anakamuliwa saaana na man u watapata draw pale anfield marudiano bado hao.kina astaon vila tottnham arsenal nk.mtawaachia point🤣🤣🤣🤣 liverpool hamna chenu tuachieni tu kombe letu chelsea na wiki hii mnapigwa 🤣🤣🤣🤣
 
Mbaga III

JF-Expert Member
Jan 25, 2019
2,415
2,000
Sasa Chelsea nabeba vyote EPL, FA na UCL.

Upo Anfield unaongoza goli mbili!badala ya kulinda magoli unafunguka kizembe unagongwa mbili tena!!!halafu na brenford ivo ivo!utabebaje epl???
 
desayi

JF-Expert Member
Aug 27, 2017
1,542
2,000
Dah! Basi huu msimu kwangu ni mzuri sana. Maana kibongo bongo Yanga ndiye Bingwa mtarajiwa! Ukienda Mamtoni huko kwa Mabebebru, Chelsea ndiye Bingwa mtarajiwa!

Na hizi zote ni timu zangu pendwa ninazo zishabikia.
Unapasuliwa kotekote hasa bongo
 
nguvu

JF-Expert Member
Jun 13, 2013
13,242
2,000
U

Umeandika nini..? Liverpool.katoka draw na Chelsea pale anfield tena chelsea akiwa pungufu mtu mmoja ilikua liverpool apigwe kama zote sema ile kadi nyekundu ya james sasa hao.liver wakufugwa na brentford wabebe ubingwa...? Labda wa uji . Akija Stamford bridge tunamkamua saaana akienda kule et hadi anakamuliwa saaana na man u watapata draw pale anfield marudiano bado hao.kina astaon vila tottnham arsenal nk.mtawaachia point🤣🤣🤣🤣 liverpool hamna chenu tuachieni tu kombe letu chelsea na wiki hii mnapigwa 🤣🤣🤣🤣
Kwanza ilikuwaje hadi chelsea akapata red card? Liver na city iliishaje na chelsea na city iliishaje?
 
This is...

JF-Expert Member
Dec 28, 2014
3,139
2,000
U

Umeandika nini..? Liverpool.katoka draw na Chelsea pale anfield tena chelsea akiwa pungufu mtu mmoja ilikua liverpool apigwe kama zote sema ile kadi nyekundu ya james sasa hao.liver wakufugwa na brentford wabebe ubingwa...? Labda wa uji . Akija Stamford bridge tunamkamua saaana akienda kule et hadi anakamuliwa saaana na man u watapata draw pale anfield marudiano bado hao.kina astaon vila tottnham arsenal nk.mtawaachia point liverpool hamna chenu tuachieni tu kombe letu chelsea na wiki hii mnapigwa
Kwahiyo ukishamfunga Liverpool darajani ndiyo unakuwa bingwa. Kwahiyo mechi pekee ndiyo itawpa ubingwa. Ushabiki maandazi.

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom