NI DAR ES SALAAM YOUNG AFRICANS
KLABU BINGWA BARANI AFRIKA ( Champions' Cup 1975)
NI timu nne tu Afrika nzima zilianzia second round ambazo ni
CARA Brazzaville ya CONGO BRAZAVILLE
AS Forces...
Na Thadei Ole Mushi.
Inahitaji utulivu na kufikiri nje ya Box...
Jana nimehoji hapa inakuwaje nchi ndogo kama Burundi yenye KM za mraba ambazo hazifiki hata nusu ya KM za mraba za Tabora na nchi...
Mwogeleaji wa Tanzania, Collins Philip Saliboko akiwa katika mazoezi makali kujiandaa na mchuano wa Michezo ya Jumuiya ya Madola Jijini Birmingham.
Collins, mwenye umri wa miaka 21, anaingia...
Timu ya soka ya Simba leo Julai 14, 2022 imeitangaza kampuni ya ubashiri ya M-Bet kuwa mdhamini wake mkuu kwa muda wa miaka mitano. Awali Simba ilikuwa ikidhaminiwa na kampuni ya ubashiri ya...
Klabu ya Simba katika kuendelea kujiandaa na msimu mpya wa 2022/23 leo Julai 27, 2022 imecheza mchezo wake wa tatu wa Kimataifa wa kirafiki dhidi ya Haras El Hoduod, ambapo Simba imepoteza mchezo...
Ugeni mkubwa katika Tukio kubwa.
Karibu Kocha mkubwa Pitso Mosimane ushuhudie ukubwa wa. Timu kubwa.
Kocha mkubwa atahudhuria tukio kubwa kusheherekea siku yake ya kuzaliwa.
Watu wa Soka,
Leo nimeleta habari njema kwa vijana wenye vipaji.
Singida Big Stars tumeanza kutengeneza timu ya vijana wenye umri chini ya miaka 20. Kama una vigezo njoo utuoneshe uwezo wako au...
Habari zenu wakuu?
Bila shaka mu wazima wa afya... Leo hembu tukae tujadili hili , je ni nani yupo nyuma ya Haji Manara? Mara zote amekuwa akirudia jambo lile lile la kuzarau mamlaka husika...
Wakati Manara Yuko Simba tulidhani ni kawaida kumuona akig'ara Kwa umaarufu. Tulidhani alistahili kuwa hivyo kutokana na nafasi yake. Lakini uchunguzi umeleta mambo tofauti kabisa.
Katika kauli...
Manara: Sikuwa nataka baada ya kusomwa hukumu ile niseme lolote wala sio kawaida yangu lakini kwakuwa hukumu ile ilikuwa na mambo mengi ya kuchafua jina langu, kuharibu reputation na image yangu...
Mtangazaji Maulid Kitenge
Kwanini TFF wamewahi kuitolea Hukumu Kesi ya Manara ila ya CEO Barbara hadi Leo wako Kimya?
Mchambuzi Jemedari Said
Ushahidi wa Tuhuma za Haji Manara ziko wazi na hata...
BAADA ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam kuliamuru Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kulipa deni la Sh 56,446,700, wakili wa Taasisi za Filbert Bayi, Karoli Tarimo amefungua maombi...
Ujumbe Kutoka Kwa Kolo Anaeajielewa[emoji116][emoji116][emoji116]
Toka sakata la kinidhamu na labda la kijinai lifanyike pale uwanja wa Sheikh Amri Abeid Jijini Arusha, bado hakuna taswira...
Kwa miaka ya hivi karibuni hapa nchi katika septa ya michezo kumekua na porojo sana kuliko uhalisia wa mwelekeo wa mchezo wetu wa mpira wa miguu tumekua, tukiweka nguvu kubwa katika kuwahamasisha...
Wakuu salaam,
Uongozi wa yanga, unajiandaa kumfungulia mashitaka rais wa tff kwenye kamati ya maadili muda wowote kuanzia kesho kwa matamshi yake ya kuwatukana na kuwadhalilisha.
naisubiria kwa...
Kwa sasa Haji Manara ni kama maji usipomuoga utamnywa.
Amesisitiza Simba sio mwakilishi wa Tanzania bali ni mwakilishi wa East Africa nzima hii yoooote
Kwa wale watu wa michezo hasa soka nadhani wanajua vituo hivi vya tv nguli vya michezo superspot ya south Afrika na bein sports ya Qatar. Sasa kipi bora katika uchambuzi wa michezo na hata...
SEKRETARIETI YA TFF IMEKOSEA KUMUADHIBU HAJI MANARA
Mbali na mambo mengine katika sakata hilo, bado pia kuna mengine ambayo ni pamoja na haya yafuatayo:
(1) Katika Kanuni zote za adhabu za...
Sekretarieti ya Shirikisho la Soka Tanzania imemfunguli mashitaka Kocha wa Azam FC U-17, Mohamed Badru mbele ya Kamati ya Maadili kwa madai ya kuwasilisha vyeti visivyo sahihi.
Tarehe ya...