Yanga wanajiandaa kumpeleka Kamati ya Maadili Rais wa TFF kwa kuwatukana hadharani

Mr. Sound

JF-Expert Member
Sep 15, 2020
1,167
2,427
Wakuu salaam,

Uongozi wa yanga, unajiandaa kumfungulia mashitaka rais wa tff kwenye kamati ya maadili muda wowote kuanzia kesho kwa matamshi yake ya kuwatukana na kuwadhalilisha.

naisubiria kwa hamu hii kesi ili nione kama kamati ya maadili watamuadhibu boss wao/wataufyata.
 
Kama nikweli Basi hao viongozi wa yanga watakuwa wameshikiwa akili na huyo mzungu pori,

sasa huo ushaidi watakuwanao wa hayo matusi ya Karia?
 
Manara akishashikwa pabaya anaanza kueneza propaganda ambazo zinawahusu watu wengine, Hilo swala la vinyesi amelisema ili mashabiki wa yanga wamuunge mkono na waichukulie hii kama vita yao huku kiuhalisia ni vita yakwake mwenyewe.

Huyu jamaa ukimchekea ataiharibu Sana tasnia ya mpira hapa nchini. Ni kufungia maisha tu...anachojivunia anao mambulula ambao hawajielewi hawawezi kureason wanaompa support
 
OUT OF TOPIC.
Nilikuwa naangalia mazoezi ya wachezaji wa Simba Sc wakiwa jim (gym), sasa Matola katika kupita pita akauona mkono wa Okrah aliekuwa anafanya tizi la ku-pull kamba kutoka juu kushusha chini😂😂, jamaa akadata kwa jinsi mwamba alivyojaza.

Akaushika shika akaishia kusema "AAAH😳😳😳"

😂😂😂😂
 
Wewe ni ME au KE?
 
Mkuu, inafahamika kuwa na wewe ni MWANANCHI kindakindaki. Sasa je, na wewe unakubaliana na hili?
Mimi na Haji Manara wapi na wapi! Sema ukubwa wa adhabu ndiyo umechangia kumuamsha hayo mashetani yake. Na kupitia huruma ya baadhi ya Watanzania, basi umaarufu wake unazidi tu kuongezeka.

Ukweli utabakia kuwa ukweli tu! Haji Manara ni mtu mwenye mdomo mchafu anapo ongea. Na hii tabia alianza nayo alipokuwa msemaji wa Simba! na hata sasa anaiendeleza akiwa Yanga.
 
Back
Top Bottom