Kama nilivyoeleza
Jana nimepata zari la kulipia takribani dollars 360 kupata tickets A67 ya kuingilia kuchek UEFA Final
Asante kwake Mr, Richardson's betting centre wa mtaani wangu Odessa kwa...
Hii ni siku maalum kwa mashabiki, na wanafamilia wote wa Simba SC Club kuitazama timu yao baada ya mapumziko ya muda/pre season ili kujiandaa, kufanya usajili bora na kufanyia maboresho baadhi ya...
Soma pia: Yanga wanapitia maumivu makubwa sana juu ya fainali si kwa furaha hii ya muungano cup...
Shabiki wa Klabu ya Simba aliyejitokeza hapa kwa mkapa anasema maumivu ya kukosa ubingwa na...
Kwema wakuu, natumaini ni kwema
[emoji1488]
Kampuni za betting hasa hizi za soka zinatumia mfumo gani kupanga odds za mechi, je ni AI inapanga kwa kupewa data za timu zitakazocheza kisha inapanga...
Wiki ya wananchi kuna watu wanapenda burudani za muziki, michezo mbalimbali, lakini wapo wengine ambao shughuli hufana kwa kangalia big pambano la mpira wa miguu kwa kushuhudia big match. Sasa...
Club ya Tabora united Imeuzwa rasmi Na sasa itamilikiwa na Mamlaka ya Mapato Nchini TRA makao makuu Dar es Salaam
Uongozi wa TRA umewapa muda wa miezi mitatu waliokuwa Viongozi wa Tabora united...
Sio kwamba wanacheza chini ya kiwango, uwezo wanao lakini malengo yao yapo kwenye kulinda namba zao timu zao za ulaya, huko ndiko yaliko maisha yao waliyoyawekea matumaini.
Kijana wa kitanania...
Habari za mapumziko,
Mashabiki na wapenzi wa kandanda Tanzania na East Africa kiujumla.
Jana SIMBA walicheza mechi yao ya pili katika mashindano ya CAF confederation CUP na kupoteza kwa magoli...
Mashabiki wa Klabu ya @simbasctanzania wakisubiri kuruhusiwa kuanza kuingia Uwanja wa Benjamin Mkapa Dar Es Salaam ili kushuhudia tamasha la Simba Day linalofanyika leo Septemba 10, 2025
Uganda walipata penati kwenye mchezo wao dhidi ya Somalia, ikatokea Allan Okello na Steven Mukwala wote wakawa wanagombea kutaka nafasi ya kupiga penalti.
Hivyo nahodha wao Khalid Aucho...
Huu msimu wa mpira unaenda kupooza kama uji wa mgonjwa.
Yanga walishalijua hili ndiyo maana mambo mengi wanafanya ya hovyo bila kujali, kuanzia usajili usio na tija, jezi na hata ile milioni 100...
Shalom shalom
Kwasisi watu wa Pwani tunaojua maana ya neno ubaya ubwela, tunajua uzito wa hili neno na maana yake hasa Kwenye masuala ya upande wa giza.
Simba abadili msemo au aendelee kuteseka...
Mashabiki wa DR Congo wameharibu Uwanja wao kwa kuvunja na kurusha viti baada ya timu ya taifa kushindiliwa mabao 3-2 na Simba wakali toka hifadhi ndogo ya Wanyama ya Teranga Senegal nyumbani...
Habari wakuu.
Kuelekea Simba day Hapo kesho 7 sep 2025 na msimu mpya wa ligi kuu ya NBC, unatamani simba sc iwe ya aina gani kiuchezaji??
Mimi kila mwanzo wa msimu, huwa natamani sana kuiona...
Benchi la Taifa stars kichwa cha mwendawazimu, limejaa uswahili Swahili mwingi , watu kama Julio kiwhelu , Juma Mgunda na Hemed Morocco hawafai kuwa hata wafua jezi wa timu ya Taifa ..
Hao ni...
Kuna kichaka baadhi ya viongozi wa hovyo wa timu hii wanajificha na hakina afya kwa jamii husika ya Simba Sports Club.
Simba wamefungwa na Yanga zaidi ya misimu mitatu mfululizo.
Yanga wamebeba...
Hii ni habari ya mjini kwa sasa. Thamani ya Yanga kwa Africa ni Kubwa sana. Yanga ni team kubwa sana. Tumshukuru Hersi na ngara23 kwa jinsi wanavyoshirikiana wamefanikisha haya.
Liverpool wamekamilisha usajili wa mshambuliaji Alexander Isak kutoka Newcastle United, wakiweka rekodi mpya ya usajili England kwa mara ya pili msimu huu wa joto.
Alexander Isak ametangazwa...