Mukwala na Okello wagombania mpira wa penalti

Damaso

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2018
Posts
6,222
Reaction score
10,730
Uganda walipata penati kwenye mchezo wao dhidi ya Somalia, ikatokea Allan Okello na Steven Mukwala wote wakawa wanagombea kutaka nafasi ya kupiga penalti.
1757402427325.jpg

Hivyo nahodha wao Khalid Aucho akaingilia kati na akachukua mpira kutoka kwa Mukwala na kumpatia Okello apige penati, Okello alifunga penalti hiyo. Na baadaye Ssemugabi kufunga goli la pili dakikanya 39. Mukwala alitolewa dakika ya 69 ya mchezo.
 
Uganda walipata penati kwenye mchezo wao dhidi ya Somalia, ikatokea Allan Okello na Steven Mukwala wote wakawa wanagombea kutaka nafasi ya kupiga penalti.
View attachment 3468158
Hivyo nahodha wao Khalid Aucho akaingilia kati na akachukua mpira kutoka kwa Mukwala na kumpatia Okello apige penati, Okello alifunga penalti hiyo. Na baadaye Ssemugabi kufunga goli la pili dakikanya 39. Mukwala alitolewa dakika ya 69 ya mchezo.
Je umejifunza nini kupitia Hadithi hii fupi?😊😀
 
Mambo ya aibu sana kwa mchezaji kulazimisha kupiga penati. Na mara nyingi watu wa aina yake ukiwaruhusu wapige, huishia tu kukosa.
 
Back
Top Bottom