Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

ZIKISALIA saa kadhaa tu kabla ya kushuka kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, jijini Dar es Salaam kuikabili Simba katika mechi ya Ngao ya Jamii ya ufunguzi wa msimu mpya wa Ligi Kuu Bara 2022-2023...
5 Reactions
7 Replies
1K Views
Najua mnajua nini cha kufanya. Rekodi zetu ni bora sana dhidi ya TFF katika mechi takribani 6 zilizo pita. Natambua kuwa tangu atie mguu kwenye ardhi ya kibongo Prof NABI hajawahi kupoteza mchezo...
3 Reactions
8 Replies
647 Views
Kama kweli ya jana yamewauma anzieni kum probe henock inonga hata kama kufanya umafia kampuni za simu ku trace mawasiliano yake Kama wawa alivyochomesha jwaneng jana inonga kakunja pesa na mission...
8 Reactions
60 Replies
4K Views
Mbaya zaidi kipigo kinawafuata hapo Old Traford! MONDAY 22ND AUGUST Manchester United Vs Liverpool.
1 Reactions
8 Replies
905 Views
Simba solution ni simple tu chukueni pesa alizotoa Mo bilion 20 mnunue wachezaji wenye quality ya kupambana na Yanga. Acheni uswahili kuficha mambo wakati ubovu wenu tunauona. Kama Mo alitoa...
5 Reactions
14 Replies
1K Views
Hivi huyu mtu inakuwaje mpaka sasa hachezi ulaya wakati kuna viande kibao kule?
4 Reactions
25 Replies
3K Views
Sisi tuliokuwa wapenzi wa Pan-Africanism ndio tuliokimbilia Yanga, baada ya timu yetu kuonyesha kutokuwa na future na mipango madhubuti ya kimichezo. Natamani timu hii ikiwa na pacha wake nyota...
0 Reactions
3 Replies
707 Views
Haina salamu! Moja kwa moja kwenye uzi Hivi benchi la ufundi la timu ya simba linaruhusu vipi hili duka la GSM kuendelea kuidakia timu yetu??!!! Hawa wachezaji tunaowasajili kutokea Yanga si wa...
4 Reactions
48 Replies
4K Views
Kocha Erik ten Hag ameamua kufuta mapumziko kwa wachezaji wake wa Manchester United mara baada ya timu hiyo kufungwa magoli 4-0 dhidi Brentford katika Premier League. Licha ya kuwa watakuwa na...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Ni ajabu sana timu zinazoongoza kuwa na mashabiki kila upande wa nchi..kukosa viwanja vyao...kila mechi Kwa mkapa..Kwenu hapo??..Jengeni viwanja vyenu bana..Azam wapo mbali sana nchi hii
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Hamuwezi kuchangaya mlenda na nyama choma kwenye chungu kimoja.
2 Reactions
9 Replies
836 Views
Huyu jamaa nilijua kuna siku ataigharimu Simba na hilo limetokea leo, kuanzia mwanzo wa mechi niliona namna anavyojiona yeye ndo yeye na alikuwa anafanya makosa ya kiufundi mengi, nilitegemea...
29 Reactions
27 Replies
4K Views
RIPOTI kutoka Ubelgiji zinamhusisha mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania na nahodha wa Taifa Stars, Mbwana Samatta ‘Samagoal’ kutua Cardiff City ya Ligi Daraja la Kwanza England ‘Championship’...
1 Reactions
1 Replies
871 Views
Goli la dakika 90 mfungaji akiwa ni Harry Kane wa Tottenham limekatisha furaha ya Chelsea ambapo limesababisha mechi baina ya timu hizo kumalizika kwa sare ya 2-2 katika Premier League, leo...
0 Reactions
2 Replies
950 Views
Simba mtalia sana mwaka huu.. Mtalia kinyama .. Mtalia ndani mtalia nje. Mtalia ofisini mtalia nyumbani. Kifupi mwaka huu hadi ujao mtakuwa wakiwa sana. Mtakuwa wanyonge shambani mtakuwa wanyonge...
9 Reactions
35 Replies
3K Views
Bila kumungunya maneno. Pale Simba aondoke barbara arudishwe magori. Haiwezekani Simba mechi tatu na mtani sisi wa kufungwa tu. Matola pia ni kichomi pale kuendelea kuwapanga akina mkude mzamiru...
4 Reactions
18 Replies
961 Views
Utopolo haiwezi kushinda mechi yoyote bila kutumia mbinu chafu ya kupitisha bahasha za khaki kwa timu pinzani. Hiyo mbinu ndiyo ilisababisha wakapata ubingwa wa ligi msimu uliopita. Utopolo ni...
11 Reactions
18 Replies
2K Views
Simba anashinda Jumamosi iwe ndani ya 90 minutes au penalty.
5 Reactions
33 Replies
3K Views
Inavyoonekana una ujuzi sana wa kuhangaikia pesa kuingia lakini pia usajili huu umeshindwa ku cover sehemu nyeti kabisa Namba 6 na namba 9 zote hizo ni sababu ya ubahili Mbaya zaidi mazungumzo...
3 Reactions
22 Replies
2K Views
Hivi polisi fc si umewadhamini pia kuhusu jezi? Ombea sana keshokutwa waifunge yanga la sivyo hizo jezi zinazokuja kwa mafungu zitakudodea by the time mambo hata yakianza kutulia huko uzunguni...
7 Reactions
13 Replies
1K Views
Back
Top Bottom