Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA) limetangaza kulifungia Shirikisho la Soka la India (AIFF) kutokana na mamlaka zisizohusika kuingilia uendeshaji wa soka, hali ambayo inaweka shakani ushiriki...
2 Reactions
13 Replies
2K Views
Kuna anaejua idadi ya wachezaji kutoka nje wanaocheza Tanzania kwa sasa hasa ligi kuu?.. Tunaweza weka list kujua ni nchi ngapi zina wachezaji ligi yetu.. Nigeria .. Ghana Ivory coast Senegal...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
UFUNDI WALIOUNESHA SIMBA kipindi cha kwanza hadi kufikia kupata bao la kuongoza ni tahadhali nzuri ya kujifunza kuelekea kuchukua bingwa mfululiizo. Huyu kocha wa SSC ni mzuri sana sana na...
3 Reactions
32 Replies
2K Views
Mpira Ni burudani, mpira sio ugomvi, dhana ya mpira Ni kutuweka pamoja Hivyo wewe usiye mdau wa yanga SC tia neno moja la nguvu kwa mtani wako wa nguvu Happy Mwananchi day Kila la kheri Tate...
2 Reactions
26 Replies
1K Views
Simba One team one dream Hii nchi ni ngumu sana kwa upande wa pili ila kwetu raha kama zote ndio maana tukipiga chafya wanatuambia tuna korona Kuna hoja mfu sana na dhaifu yaani aibu hata...
1 Reactions
30 Replies
2K Views
Kinachoendelea dhidi ya Mshambuliaji wa Simba, sio sawa wala huu sio ushabiki ni ubaguzi na upumbavu wa hali ya juu! Sijui uko alipo anajiskiaje huyu mwamba! Kibinadamu sio fair kabisa hii
9 Reactions
42 Replies
3K Views
Wakuu naomba ratiba kamili ya LIGI KUU BARA Natanguliza shukrani
0 Reactions
0 Replies
562 Views
Ukifuatilia matokeo na mwenendo wa timu hizi mbili hasa katika ligi yetu utagundua Simba anabebwa sana katika game zake kwa mambo mengi, mfano tu mechi ya majuzi hapa 1)Faulo ya Inonga dhidi ya...
4 Reactions
16 Replies
1K Views
Kuna dhana duni na hoja dhaifu zinaanzishwa na watu dhaifu hususan wale Mashabiki waliopasuka vidali baada ya kuona timu yao Ni dhaifu hivyo kuanzisha hoja dhaifu ili kutafta furaha kwa nguvu...
5 Reactions
11 Replies
659 Views
"Mimi wala sio Mwanachama wa Simba mimi ni Mwanachama wa Coastal Union, na ile picha ni ya zamani, nilitumwa niende kwenye Simba Day kumuwakilisha kiongozi wangu wa kipindi hiko, nilivyofika pale...
2 Reactions
21 Replies
3K Views
💥BYUTI BYUTI vs UNSTOPPABLE Direct Footbal vs Lunyas Phylosopy. ✍️Game approach and Mentality. Ni mchezo unaohitaji nidhamu ya hali ya juu na wachezaji wenye uwezo wa kuamua matokeo kwa timu...
4 Reactions
13 Replies
1K Views
Au naweza kusema aingie pale ambapo timu imeshapata ushindi mzuri na game ipo mkononi kwao. Nina imani akiweza kuonesha makali yake kwenye mchezo Mashabiki hawa wa Bongo ninaowajua wanabadilika...
2 Reactions
13 Replies
1K Views
Yanga Sc wanao julikana kama timu ya wananchi hasa pale wanapo kua hawako sawa kiuchumi kakini hua wa kimataifa mambo yanapo kua byeeeee..!! Mashabiki wanachama na viongozi wa clabu hii yenye...
2 Reactions
20 Replies
3K Views
Sina maneno mengi. Maandalizi,mipango ya mechi na mechi yenyewe yamefanyika hadharani kila mtu ameona. Mpira una matokeo matatu,lakini sisi sio wa kufungwa kila siku na Yanga. Kocha anafanya...
5 Reactions
37 Replies
4K Views
Watu wengi wamemponda mshambuliaji wa Simba Dejan wakidai sio lolote, hawajui hata Pape Sakho walisema hivyo hivyo kuwa hana uwezo wa kucheza Simba, walisema Peter Banda hana uwezo, walisema...
3 Reactions
9 Replies
2K Views
Nafikiri mechi ya Yanga dhidi ya Vipers ilikuwa ni moja ya mechi bab kubwa, Vipers walionyesha ni namna gani wako vizuri kiufundi, walikuwa wanacheza objective football, walikuwa very sold kwenye...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
INDIA YAWAPA MEDALI MASHUJAA WA MADOLA Na John Mapepele Serikali ya India imewapongeza mashujaa wa Tanzania waliorejea na medali kutoka kwenye mashindano ya Jumuiya ya Madola yaliyomalizika hivi...
0 Reactions
0 Replies
571 Views
Nawasalimu kwa jina la Jamuhuri Naomba niseme kidogo kwa anayopitia huyu mchezaji mwenye kipaji bwana mdogo Mason Greenwood kwa sasa. Mwaka 2015 mchezaji wa Sunderland na timu ya Taifa ya...
8 Reactions
35 Replies
4K Views
rais Wales John Karis na katibu wake wanastahili kufunguliwa kesi ya uhujumu uchumi Kutokuomba ombi la kuruhusu caf mashabiki kuingia uwanjani mechi ya kimataifa yanga na river ya naigeria ni...
0 Reactions
1 Replies
415 Views
Back
Top Bottom