Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Simba SC imesajili wachezaji 11 lakini Sadio Kanoute pekee ndiye mwenye ITC. Wahenga wanasema ubora ni kheri ya Idadi. Simba iliona ishindane na Yanga SC kwenye kusajili wachezaji wengi ili hali...
10 Reactions
28 Replies
4K Views
Njoo utupie na wewe conspiracy yeyote kuhusu football.
0 Reactions
9 Replies
709 Views
Simba leo wamefanikiwa kutoa gundu la kipuuzi kabisa, geita gold amekula goals 6-0 huku mfungaji wa goal la kwanza akiwa ni clatous chama dakika ya 7 Haijajulikana kilichosababisha simba...
2 Reactions
39 Replies
2K Views
Mpaka ligi inaanza bado watu wanasikika hawapo kambini. Ilianzia kwa kocha Minziro, wenzao wanawatambulisha wachezaji kwa maana ya kujiandaa kwa ligi, ikasemekana yupo Dar na hajasaini mkataba wa...
3 Reactions
25 Replies
3K Views
Pamoja na promo za kutosha still Africa na Tanzania ikiwemo Umasikini ni changamoto kubwa sana na hii sio kwa Tanzania peekee ingawa case study ni Bongo. Ukiangalia mashabiki wa hizi timu, utaona...
2 Reactions
3 Replies
582 Views
Jana usiku wamepost picha zao wenyewe kwa raha zao kuhusu mazoezi yao wakijandaa na geita gold kuna raia wamehudhuria na kwenye hizo picha kuna mmoja kabisa anarekodi. Kabla wale wa comment za...
5 Reactions
41 Replies
3K Views
Najua wengi mtanipinga ukweli ni kwamba mpira wa bongo una Sarakasi nyingi sana nje ya uwanja. Babra hajui chochote kuhusu soka, kibaya zaidi hata wale wanaojua siri za mpira wa nchi hii...
8 Reactions
33 Replies
3K Views
Baada ya mechi ya ngao ya jamii, watu wengi wamekuwa wakimshambulia mchezaji mpya wa Simba toka Serbia na kudai kuwa hana kiwango cha maana. Wengi wamediriki kusema alikuja na mzigo wa jezi wa VB...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Hii timu inaweza kuwa inashinda baadhi ya mechi , lakini kiukweli ina ukuta unaovuja mno ! Sielewi simba iliwakosaje yaani ? Game yao na Polisi Tanzania ambayo wameshinda 2-1 ni kielelezo cha...
2 Reactions
40 Replies
3K Views
Kwa media ama Public figure ambayo ina fuatiliwa na kuamiwa na waTanzania wengi kama hii ya Millard ayo huwezi kutegemea kuona mambo ya ajabu kiasi hiki yanafanyika! hata kama kipaumbele chake sio...
10 Reactions
20 Replies
2K Views
Wanasimba wenzangu, nakubali kwamba huenda Inonga akawa na mzaha mwingi na over confidence, lakini suala la KUHONGWA haliwezi kuwa Na uhalisia wowote. 1. Yanga wana kikosi kizuri sana, na kwa...
23 Reactions
40 Replies
4K Views
Ukiiangalia vizuri mechi hii unaona kabisa kocha wetu sidhani kama yupo vzr. Tshabalala siku hiyo alikuwa uchochoro kuliko hata Israeli kama ambavyo watu wetu wanamlaumu. Tshabalala goli la pili...
1 Reactions
3 Replies
987 Views
Mbwana Samatta akiwa katika mazoezi ya timu ya KRC Genk baada ya kurejea kwa mkopo
3 Reactions
13 Replies
1K Views
Ligi kuu ya NBC Tanzania bara inaendelea tena leo Agosti 17, 2022 kwa mechi 4. Simba SC watakuwa na nafasi ya kujiuliza kufuatia kipigo cha Ngao ya jamii wakichuana na Geita Gold katika dimba la...
3 Reactions
5 Replies
780 Views
Naona kama huyu ndugu hatendewi sawa, na ni kama vile inaelekea katika hali ya kubaguliwa na kinyanyaswa kwa rangi yake na asili yake. Taasisi za haki za binadamu zitoe angalizo kwa watanzania na...
3 Reactions
14 Replies
1K Views
Baadhi ya Waandishi habari wetu wana walakini ya wazi kabisa. Maswali yao kwa makocha na wachezaji wa nje na ndani yanamtia kichefuchufu hata msikilizaji. Wanaiangusha taaluma ya habari, hayana...
0 Reactions
1 Replies
897 Views
"Anayesema kanuni hazipo kihalali (Manara) kanuni hizohizo ndizo zinasema mwenye pointi nyingi awe bingwa, sasa kama mtu anasema hazipo kihalali ina maana ligi yetu ya msimu uliopita ilikuwa...
3 Reactions
12 Replies
1K Views
Nawashauri Watanzania tuwekeze katika kujenga shule za michezo kila mkoa. Kila tunapofanya mashindano yale ya shule za msingi tunawachukua wale best students katika kila mchezo na kuwahamishia...
0 Reactions
2 Replies
512 Views
Akizungumza kwenye Pre-Meeting ya Watani wa Jadi Simba SC na Yanga SC, Kocha Zaron Maki alisema kuwa amekutana na derby nyingi, huku akiamini kuwa ubora wa wachezaji ndo unaamua mechi kushinda na...
15 Reactions
108 Replies
7K Views
#MICHEZO Nahodha wa Taifa Stars, Mbwana Samatta amerejea tena katika klabu iliyompa mafanikio barani Ulaya, KRC Genk kwa mkopo wenye kipengele cha kumnunua moja kwa moja akitokea Fenerbahce ya...
8 Reactions
41 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…