Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Mabibi na mabwana, usiku wa leo kwa masaa ya Afrika Mashariki, Bondia mtanzania, Hassan Mwakinyo atakuwa anapambana na bondia Liam Smith katika dimba la M&S Bank Arena huko jijini Liverpool. Liam...
21 Reactions
424 Replies
35K Views
Kijana ule mpambano wa Jana anaonekana kabisa alikuwa hana sababu za kupigwa naona ni kama kauza lile pambano maana hata sababu zake hazina msingi wowote. Anasema Begi la viatu vyake lilipotea...
4 Reactions
6 Replies
1K Views
Tupo wataalamu wa uchunguzi tutavichunguza tutabaini na hata aliyekuibia tutamtambua .keep it up ngumi unaweza ila gangamala.
0 Reactions
2 Replies
543 Views
Wakuu nimeangalia tambo hapa Azamtv yaani Hadi aibu naona mimi watu wazima wanavyojitoa akili . Inasikitisha sana huenda ndiyo Sababu CCM wanatutawala Hakika sisi ni wajinga tunaongea pointless...
30 Reactions
140 Replies
8K Views
WAKUU. Mimi ni shabiki mi ndaki ndaki wa Simba sports club, na pia ni MTAALAM wa taaluma ya coaching. Nimewafuata viongozi wa Simba inbox na ana kwa ana kuwashauri mambo ya msingi ya kuyafanya...
9 Reactions
23 Replies
3K Views
Kwangu mimi HASSAN alipigwa fairly kabisa, hakuuza mechi na wala hakukuwa na makando kando yoyote. Shida kubwa ni Watizedi hatuna maturity kwenye michezo with descipline. 1. HASSAN alikuwa...
21 Reactions
54 Replies
4K Views
Mshindi anachukua milion 213 ulipigiwa milion mia 110 kabla yakod watu wakapanda dau wakampa milion 269 apoteze ungeacha hela hizo ??? Tusimlaumu kuna maisha baada ya pambano ndio maana alikua...
4 Reactions
7 Replies
730 Views
Hii ilianza kujionesha pale bingwa wetu alipozalilishwa na Vipers, hata kitendo Cha Jana Cha kufungwa na Uganda kilidhihirisha Hilo. Ligi ingekuwa na ubora bingwa wetu asingezalilishwa hivyo...
3 Reactions
22 Replies
1K Views
Dr Kigwangalla amewataka vijana watambue vipaji vyao mapema na wafocus kwenye kutimiza ndoto zao Kigwangalla amesema yeye ana Kipawa cha Uongozi na alifocus kwenye ndoto yake tangu akiwa form six
1 Reactions
8 Replies
655 Views
STAA aliyerejeshwa kikosini na Yanga dakika za lalasalama za dirisha la usajili, Tuisila Kisinda anatarajiwa kutua nchini muda wowote, lakini beki kisiki wa Simba, Joash Onyango ameibua jipya...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Ni wakati wa kufanya mambo kwa njia tofauti. Kwanini watu wasipewe mkataba wa kuchezea timu ya taifa tu kama wanavyochezea vilabu. Kazi yao iwe ni mpira kwa aajili ya timu ya taifa, wakilala...
2 Reactions
12 Replies
1K Views
Wakuuu hii entertainment inanichosha sana skuizi umekuwa ya kiwaki sana. Mapambano yote bingwa anasaidiwa tuuu inabore sana hawa jamaa watapoteza mashabiki mno.
0 Reactions
3 Replies
643 Views
Ligi yetu inachezeshwa vibaya, ligi yetu Ina wageni wengi mno, timu imejaa wazee, watoto wadogo hawana makocha na TFF inahangaika mno na Simba na Yanga kuliko mpira wenyewe. Tulimbebesha lawana...
10 Reactions
33 Replies
2K Views
Kumbuka ukiwa una insult inteligence ya watu kwa kujiona we mjanja kuna wajanja zaidi yako , utaooongea yooote lakini hii issue wazee wa kazi waseme waingilie kati wafatilie hata bettings za nchi...
6 Reactions
25 Replies
2K Views
Kwanza nimefurahishwa sana na matokeo ya leo kati ya timu ya Uganda na Taifa Stars. Kwanini Taifa Stars tusiite Mandonga Stars jamani kwa matokeo makubwa zaidi?
2 Reactions
5 Replies
666 Views
Mdhunguuu wa MAKOLO [emoji23][emoji23][emoji23] baada ya ku trend mtandaoni leo kutokana na na mikimbio yake vs...kukosa goli la wazi ( clear chance)......... Ameifokea page moja ya michezo baada...
7 Reactions
34 Replies
3K Views
Simba imepoteza mchezo wa kirafiki dhidi ya AS Arta Solar kwa kufungwa goli 1-0 kwenye Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam, leo Septemba 3, 2022. Licha ya kutawala mchezo huo kwa muda mwingi Simba...
3 Reactions
42 Replies
6K Views
1. Aishi Manula 2. Kibwana Shomary 3. Mohammed Hussein 4. Dickson Job 5. Kennedy Juma 6. Jonas Mkude 7. Abubakary Salum 8. Feisal Salum 9. Anwar Jabir 10. John Boko 11. Farid Mussa Tafadhali...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
1. Djigui Diara 2. Djuma Shaaban 3. Lomalisa Mutambala 4. Dickson Job 5. Yannick Bangala 6. Khalid Aucho 7. Bernard Morisson 8. Feisal Salum Fei Toto 9. Fiston Mayele 10. Stephan Fundi Aziz K...
26 Reactions
65 Replies
5K Views
Mh[emoji25]
8 Reactions
25 Replies
2K Views
Back
Top Bottom