Hassan Mwakinyo ameuza Pambano au kapigwa kihalali?

themagnificient

JF-Expert Member
Dec 13, 2016
988
3,318
Kijana ule mpambano wa Jana anaonekana kabisa alikuwa hana sababu za kupigwa naona ni kama kauza lile pambano maana hata sababu zake hazina msingi wowote.

Anasema Begi la viatu vyake lilipotea airport hivyo kabla ya pambano akapewa viatu vingine hivyo viatu vikawa vinamuumiza miguu yani hayupo comfortable, sasa najiuliza ilikuwaje akakubali kuvalishwa viatu vibovu na wapinzani wake? kitu ambacho si sahihi kabisa.

Mwakinyo kabla ya pambano alikuwa na mda wa kutosha kujiandaa tena ndani ya Jiji la Liverpool alishindwa vipi kutafuta viatu vyake mwenyewe ambavyo vitakuwa comfortable akakubali kupewa viatu ambavyo hajui vilipotokea?

Mwisho wa pambano mwakinyo anaonekana kabisa akifurahia anasmile kabisa kumpongeza smith, sijui ilikuwaje akakubali pambano liishe kizembe vile.

Ila hata kama kijana anajipambania kutafuta mapambano huko nnje kwa nguvu zake lakini unapokubali kubeba bendera ya Tz jua unaiwakilisha nchi so hatutaki upumbavu.
 
Anasema Begi la viatu vyake lilipotea airport hivyo kabla ya pambano akapewa viatu vingine hivyo viatu vikawa vinamuumiza miguu yani hayupo comfortable, sasa najiuliza ilikuwaje akakubali kuvalishwa viatu vibovu na wapinzani wake? kitu ambacho si sahihi kabisa
Ndio maana alipiga goti? au kapeleka poda anajua fedha imeshaingia.
 
Naomba kujua pambano mpiganaji anauzaje? Maana nimesikia hata mwakinyo angeshindwa alikuwa analamba dola 100,000,sasa kuuza pambano inakuwaje?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom