Hii tetesi kwangu naikubali asilimia 100, hapa kati jamaa aligeuka kero anafanya vitu hadi unajiuliza jamaa vipi tena, amekuwaje?
Basi kila la heri POS maana kesharejea jana, I hope wazee wa...
Patashika ya Ligi Kuu Tanzania Bara imeendelea kupigwa leo September 30, 2022 ambapo Tanzania Prisons walikuwa wakipepeta na Azam FC kwenye Uwanja wa kumbukumbu ya Sokoine Jijini Mbeya.
Matokeo...
ukweli mchungu!!
Kwenye hizi timu za Kariakoo, hamna hata timu moja itaenda makundi ya CAF, labda kidogo shirikisho!
Labda tena kwa mbinde, naiona timu moja tu tena haipewi nafasi sana ya kufuzu...
Wakuu Hali ni Tete Huko Umakoloni.
Habari za Chinichini Ni Kwamba Mwamba Inonga anataka Mzigo wake Wa signing fee iliyobaki.
Yuko Tayari asicheze Ila alipwe fedha yake na inasemekana wachezaji...
Ila siyo Siri Mo Dewji kwa sasa wala nisikufiche unazingua na unatuzingua sana tu wana Simba SC hasa kupitia hicho Kifidodido chako CEO Barbara Gonzalez.
Hivi Wewe Mo Dewji kama kweli Mzigo wa 20...
Wakuu habari za mda huu.
Ni ukweli usiopingika kuwa vipaji katika mpira huja na kupotea. Lakini kinachosikitisha ni watu wa zamani kupendelea ukale wao na kuamini kila aliecheza zamani alikuwa...
Ni wazi kwamba mashabiki na wanachama wa simba wameweka matumaini makubwa kwa Kuisifia Al hilal jinsi itakavyomtoa yanga na wanakwenda mbali zaidi kuapa ya kwamba ndo mwisho wa yanga awatoboi...
Nimeshangaa mpaka vyombo vikubwa kama Azam kutangaza kuwa Ibra ameshinda kwa KO! Kwenye boxing pale Ibra kashinda kwa TKO!
Kwenye mchezo wa ngumi kuna matokeo manne;
1. Kushinda kwa point
2. Sare...
Vip Leo mnaona tafuti au sawa nimeangalia moja la muindi nimelizika mo naona kajiandaa mabondia wako vizuri ngumi zinapigwa
=================
Bondia Mtanzania Ibrahim Class amefanikiwa...
Wana Lunyas nani awe kocha mkuu kati ya hao mabwana wawili, Robertnho wa Vipers ya Uganda au Bwana Julian chavelier wa ASEC Mimosa?
Kwa upande wa Bwana Robertnho wa Vipers msimu jana kacheza...
"Wasemaji wote wa Yanga SC waliopita hawakuimudu hii Kazi ila mwenye hiyo Kazi Ally Kamwe nimekuja" Ally Kamwe Msemaji wa Yanga SC ( EFM Sports Headquarters )
Mdogo wangu Ally Kamwe taratibu kuna...
"Kesho nataka kwenda TFF Kumuombea Msamaha Haji Manara na naamini watanisikiliza na kumsamehe" Ally Kamwe Msemaji wa Yanga SC (Clouds FM Sports Extra).
*Waliyopanga watu wa kwenda kuigiza Filamu...
Tanzania tunahitaji expatriate wa ki Zambia kuwa Mkurugenzi Mtendaji Yanga ?
Kama ambavyo alinyimwa Visa yule Mama wa Kikenya mwenye degree ya cookery kuja kuongoza VODACOM ndivyo hivyo ilibidi...
Kwa namna Yanga wanafanya mambo yao naiona kesho ya Yanga ni kubwa kuliko SIMBA
Wameandika katiba ambayo wanaishi nayo sasa. Eng. Hersi ataipeleka Yanga mbali
Wanasajili wanachama online which...