Sakho alirogwa hapa kati, akarudi kwao kukarabatiwa na wazee

njaakalihatari

JF-Expert Member
Feb 12, 2019
4,084
8,663
Hii tetesi kwangu naikubali asilimia 100, hapa kati jamaa aligeuka kero anafanya vitu hadi unajiuliza jamaa vipi tena, amekuwaje?

Basi kila la heri POS maana kesharejea jana, I hope wazee wa Senegal wako vizuri na kama aliyemchezea uchawi yuko hapo klabuni basi akipewa namba afanye la maana siyo kurukaruka kama yuko nje ya club basi sawa kila la kheri.

*Wengi wanahisi ni Sakho kila nikijaribu kufikiria wa utopolo akili haiji haraka labda Aucho, ingawa I don't think so. All in all ukweli unabaki kwamba hizi teams kuna wachezaji huwa wanakuja kumalizwa kabisa Tanzania, watu wakipata hata nguo yenye jasho lako umekwisha.

Nakumbuka nilisikia kisa cha Balinya kumkaba Ngasa na kumchapa vibao kadhaa kwa uchungu huku akilia na kumuuliza kwa nini unaniafanyia hivi ndugu yangu? Balinya alipopotelea leo hakujulikani kabisa.

Shikhalo yeye kila siku ilikuwa kulia na Metacha Mnata hadi Mwenyekiti Msolla akasema waziwazi kwamba mnata ni jau hapo ndipo ubishi wa Jemedari Said na Yanga ulipoanzia kwamba meneja kijana wako anatuhumiwa kuwa wizard huku.
SAKHO.JPG
 
Kama ushirikina ni dili sumbawanga fc ichukue word cup basi
uchawi wa ki afrika ni wa kuharibu siyo kufanikisha, sarpong kuna wazee walimfata kabisa wakamuambia wewe umechezewa tutafutie hata laki tatu tukurekebishie akawapuuza, yaani bora hata angerudi kwao ghana kurekebisha mambo kaondoka kwa aibu sasa
 
Ccm ndio inapenda hk vijana wa Tanzania nguvu na akili waweke uko kwenye ungese kama huu.
Wao wanakula maziwa na asali
 
bahati mbaya na wewe umechangia mada za ungese badala ya kwenda twitter space kupambana na hao ccm, umepotea jukwaa
 
Hii tetesi kwangu naikubali asilimia 100, hapa kati jamaa aligeuka kero anafanya vitu hadi unajiuliza jamaa vipi tena, amekuwaje?

Basi kila la heri POS maana kesharejea jana, I hope wazee wa Senegal wako vizuri na kama aliyemchezea uchawi yuko hapo klabuni basi akipewa namba afanye la maana siyo kurukaruka kama yuko nje ya club basi sawa kila la kheri.

*Wengi wanahisi ni Sakho kila nikijaribu kufikiria wa utopolo akili haiji haraka labda Aucho, ingawa I don't think so. All in all ukweli unabaki kwamba hizi teams kuna wachezaji huwa wanakuja kumalizwa kabisa Tanzania, watu wakipata hata nguo yenye jasho lako umekwisha.

Nakumbuka nilisikia kisa cha Balinya kumkaba Ngasa na kumchapa vibao kadhaa kwa uchungu huku akilia na kumuuliza kwa nini unaniafanyia hivi ndugu yangu? Balinya alipopotelea leo hakujulikani kabisa.

Shikhalo yeye kila siku ilikuwa kulia na Metacha Mnata hadi Mwenyekiti Msolla akasema waziwazi kwamba mnata ni jau hapo ndipo ubishi wa Jemedari Said na Yanga ulipoanzia kwamba meneja kijana wako anatuhumiwa kuwa wizard huku.
View attachment 2372154
Ukiwa bongo football Its Typical wizard scene aisee.. sikia tu kwa jirani
 
Back
Top Bottom