Kerosine Bal
JF-Expert Member
- Mar 18, 2014
- 247
- 231
Itifaki imezingatiwa, wazee naomba kuuliza hivi mapromota wa ndondi/ngumi kama MOBOXING wananufaikaje na kuandaa mapambano? Asanteni
[emoji28][emoji23][emoji115],,jikite kwenye mada usijaribu hali ya hewa.Ungekuwa unashabikia simba, ningekushauri kwenda kumuuliza promota wetu mpya in town, Dr. Mo. aka Moboxing