Kama kawaida Yanga tunaenda mchukua mwali wetu tujimwaye mwaye naye msimu huu wote. Leo ndo tunakabidhiwa mwali.
Naweka hili bandiko hapa. Simba ikitokea leo ikamfunga Yanga niwe banned kwa wiki...
Medali aliyoshinda Simbu ni ya kwanza Tanzania kwa mbio za marathon na siyo ya kwanza kupatikana kutoka IAAF World Athletics championship. Mwanariadha Fabiano Joseph alikuwa mtanzania wa kwanza...
Kipindi cha nyuma tuzo zilikuwa zikitolewa kwa wakati, ila kuna kiongozi akasogeza mbele utaratibu wa tuzo kwa kigezo cha kuboresha, sasa unajiuliza huyo kiongozi alikuwa.
Anafahamu sababu...
Hii ni tathmini yangu ya mambo 10 tuliyoyashuhudia katika matamasha ya Simba Day na Yanga Day.
1. Ni wazi mauzo ya jezi mpya za Yanga siyo mazuri. Jezi za Simba zimeuzika saana. Kuna tukio la...
Niliangalia matamasha ya Simba day na Yanga day ya mwaka huu nikaendelea kushuhudia kitu ambacho nilidhani hakikupaswa kufanyika kutokana na ukubwa wa vilabu hivi kwa sasa na umaarufu wa matamasha...
The government has shut off over 50 betting firms for operating without the approvals of the Betting Control and Licensing Board (BCLB).
In a letter sent to Communication Authority of Kenya (CA)...
Kwanza naona coach Folz ana kazi ngumu mno kwenye kupanga kikosi.
Young wameboresha timu Yao inatosha
1. Goal keeping
Diarra ni yule yule ametoa mchezo mzuri mno, na mwenzake Msheri
2 Defending...
Hivi punde Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) wamezua gumzo kubwa mitaani na mitandaoni baada ya kutangaza viwango vya tiketi kwa ajili ya mchezo wa Ngao ya jamii kati ya Yanga SC dhidi...
Kama kichwa cha uzi kinavyojieleza, Kama ule mpira waliocheza Simba siku ya tamasha lao ndo mpira wao kwa msimu huu, naomba kesho tufungwe ili kocha Fadlu afukuzwe mapema.
Timu haieleweki...
Wanasema ni ngumu sana kumshauri mtu anayekaribia kutapeliwa.
Nilishatoa angalizo mara nyingi, hakuna uwanja wa mpira utakaokwenda kujengwa pale Jangwani.
Hizo habari za hati ni siasa tu. Ina...
Maamuzi ya CAF yametokana na mashabiki kuvunja utaratibu kwenye mechi ya CAF CC dhidi ya Al Masry.
Mechi dhidi ya Gaborone Utd ya Sept. 28 haitakuwa na mashabiki
Mwamuzi wa kati ambaye pia ana begi ya FIFA Ahmed Arajiga kutoka Manyara ndiye mwamuzi wa kati kwenye mchezo wa Derby ya Kariakoo hapo kesho. Arajiga atasaidiwa na waamuzi wa pembeni Mohamed Mkono...
Wadau, hebu tuweke kando ushabiki na tuangalie hoja kwa jicho la tatu. Simba wana Simba Day, Yanga nao wana Yanga Day. Zile ni siku kubwa zinazojulikana kitaifa na kimataifa—matamasha, burudani...
Kila mara linapokuja Tamasha la Wananchi yeye anakuwa na kazi ya kuhamasisha tu watu kufika Uwanjani lakini Siku ya Tukio msemaji Mkuu anakuwa Chaguo la Tajiri Haji Manara.
Mwaka huu aliahidi...
Mkali wa Ufilipino Manny Pacquiao amepigiwa kura nyingi zaidi kama bondia bora katika karne ya 21 mbele ya mpinzani wake Floyd Mayweather.
Mayweather, ambaye mara nyingi hufikiriwa kuwa mmoja wa...