1. Atawatumia wachezaji waliopo bila shida. Kama alimtumia chasambi na balua hawa atawapeleka
2. Takwimu zinambeba kuwa na matokeo makubwa mno kila akiachiwa timu kuliko kocha yeyote wa nje.
3...
Baada ya kumalizana na mchezo wa Ngao ya Jamii, vikosi vya Simba na Yanga, vimeanza safari kuelekea kwenye michezo yao ya Kimataifa katika nchi tofauti.
Kikosi cha Yanga kimeondoka alfajiri ya...
Hatimaye, hayawi hayawi yamekuwa! Leo, Septemba 16, 2025, watani wa jadi Yanga SC na Simba SC watakutana katika mchezo wa Ngao ya Jamii, ambao utaashiria kuanza rasmi pazia la msimu mpya wa...
Kwenye numerology, tunatumia namba zinazohusiana na majina au matukio ili kutabiri matokeo au mwelekeo wa jambo fulani. Hapa, unaweza kuchambua kwa kutumia majina ya timu au tarehe ya mechi. Hebu...
Hapo vip!!
Mpira ni mchezo wa wazi na uzuri watu wengi sasa hivi wanajua mpira hauwezi kuwadananya.
Jana kila mtu ameona yanga akipewa goli la offside tena bila aibu na Arajiga.
Nafikiri pia...
Mara ya 6 mfululizo simba anakaa hata yanga ya bakuli hawakuwahi kupigwa Mara 6 consecutively
Huwezi ukaacha kusajili top players halafu ukategemea propaganda ilianza pira bovu simba day...
nimechoka na hii timu, Ndani inatuunguza, nje inatubabua. Huu msimu tulitegemea tutaanza kwa matumaini ya kuvunja mwiko wa vipigo mfululizo kutoka kwa watani lakini kidonda kimetoneshwa upya...
Hali naambiwa kwa Tanzania ni mbaya mashabiki wa Simba wameanza kukonda na kukosa raha. Hapo katikati walianza kunenepa baada ya Ligi kusimama.
SASA LIGI IMERUDI TAABU IPO PALE PALE.
Wakuu,
Kwa hili vibe nililoona mitaani leo. Mabanda ya mpira kujaa, kila mtu kuongelea mpira status na mitandao yote kuzungumzia kuhusu mpira nadhani ifike muda CCM ifute kabisa masuala ya...
Ni kweli nchi za ulaya zimetuzidi mambo mengi sana ila naamin tunauwezo wa kuboresha miundombinu yetu ya viwanja na ikawa mizuri mfano ukiangalia uwanja wa majaliwa kuuboresha na kuufanya kuwa...
Kama unakumbuka sakata la Oktoba 25, 2023 la kukamatwa Makontena yenye jezi feki za klabu za Simba, Yanga, Azam na Timu ya taifa zilizoingia kimagendo nchini.
Wanahabari walikurupushwa usiku...
Ni bora simba tujikite kwenye mechi za kimataifa hapa Bongo ni Ngumu kutoboa kwa wakati, Utopolo wanashinda kimchongo sana, Ngao iliyopita Kayoko aliwapa hii Arajiga Kawapa, Mechi ya Mwisho ya...
Ukiwa unajiamini bwana, raha sana. Unajua kabisa matokeo yatakayokuwa, unaweza kutamba utakavyo.
Kabla mechi haijaanza, wakati macaptain wa Simba na Yanga, Shomari Kapombe na Dickson Job wakiwa...
"The best way to win is to weaken your opponent(s)". Hii ndio mbinu wanayotumia mataifa makubwa kama Urusi kupambana na maadui zao wakubwa kama Marekani kwa kuwapora majajusi wao Bora.
Mbinu hii...
Kwahiyo Mangungu ndiyo aliwaambia akina Kibu Denis na Nuksi Shomary Kapombe wakose yale Magoli ya wazi na ndiyo pia aliwaambia Mabeki wawe Wazembe katika Kukaba kiumakini hadi Pacome akatufunga...
Baada ya kumtambulisha kwa mbwembe, aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji Yanga Andre Mtine abwaga manyanga.
Sababu za kuondoka kwake ni uswahili uliopitiliza wa Rais wa klabu hiyo Hersi. Hii ni kutokana...