Mayele alivyochukua maamuzi ya kubaki, nilimuona amefanya maamuzi mabaya sana tena sana. Katika watu ambao huwa hawana shukrani ni mashabiki wa Yanga, asubuhi unaweza kuwasaidia ikifika jioni...
Team yetu ilikuwa nzuri msimu uliopita.umewagaia yanga wachezaji wetu wakali Sasa hivi team imekuwa mbovu.hatukomi kukuzomea.hakuna support yoyote zaid umeharibu tu soka la singida.
Haiwezekani...
Mimi ni shabiki wa Liverpool kindaki kindaki siyo masihara,
Sababu iliyopelekea kuipenda hii ni;
1. Bwana mdogo Michael Owen, enzi hizo vile alivyo kasi na ufungaji wake na falsafa za pale...
14:00 Ihefu FC vs Polisi Tanzania
16:00 Mbeya City vs Kagera Sugar
19:00 Yanga SC vs Singida Big Stars
✍ BIG MATCH: Wakulima wa Alizeti, Singida Big Stars watakuwa wageni wa Mabingwa watetezi...
Yanga imeifunga Club kutoka Tunisia ambayo inashiriki Kombe la Dunia mwaka huu, na ni timu ambayo inafanya vizuri sana AFCON, na timu za taifa kutoka nchi za kiarabu kama Egypt, Tunisia, Morroco...
Mwaka 2019 tarehe kama ya kesho mwezi wa pili timu ya club africain kutoka nchini Tunisia ilipigwa nane bila na timu ya TP Mazembe pale mjini Lubumbashi nchini Congo DRC katika uwanja wa Stade TP...
Wakuu
Nimekuwa nikitafuta kujua ni kingamuzi gani kitaonesha fifa world cup 2022 ili nikinunue kwa sasa na matumizi ya badae
Dstv hapana, sababu sitaweza kumudu kile kifurushi kikubwa chenye epl...
Cristiano Ronaldo ameishutumu Manchester United kuwa imemsaliti na kudai kuwa hana heshima kwa kocha wake, Erik ten Hag kwa kuwa yeye (kocha) hajaonesha heshima kwake (Ronaldo).
Amedai kuwa Ten...
Kweli msimu huu matajiri wameamua iwe mvua iwe jua. Nimejikuta nazima TV tu.
Its hectic and boring. Poleni Ruvu, pole Mkwasa, ndiyo mpira wa Bongo huo.
"Tulimpa chaguo la kuondoka msimu wa joto lakini hakupata timu. Tulijaribu chelsea wakakataa, Ac milan wakakataa. Tukamwambia atafute timu lakini hakupata, anazungumzia heshima gani?"
"United...
Kocha kakanwa kabla jogoo hajawika. Mwingine kateuliwa kabla giza halijaingia, hili linaleta sintofahamu kuhusu hii skenfldo ya madawa ya kulevya. Serikali ichunguze kwa makini sana kuna shida...
Jina: Chlouha Zakaria
Utaifa: Morocco
Kwa mujibu wa taarifa ambazo hazijathibitishwa na Uongozi wa Simba SC, kocha Chlouha Zakaria anaweza pia kuhudumu kama kocha wa viungo.
=====
Kocha huyo...
Habari za muda huu ndugu zangu,
Nmekuja hapa mbele zenu kama shabiki lia lia wa Azam FC. Hii timu naipenda, inaongozwa kisomi sana, na haina uswahili wa kijinga japo kidogo imeegemea kwenye udini...
Wapenzi wa Simba habari zenu,
Leo naomba niwachane makavu kuhusu iki kituko mnachokisifia kisa kutokucheka, sijui Putin. Aisee huyu mchezaji ni wa kawaida mno kiasi kwamba ukimpeleka hata KMC...
Jana nimeona Mechi ya Azam na Ruvu, kiukweli pasi na shaka Azam na wao wameshakata shauri liwalo na liwe kama wakubwa wengine, kwa udi na uvumba na wao wanataka matokeo sasa. Najua kama ilivyo...
Kwanza kabisa kama ikiwapendeza FIFA kwa mwaka huu World Cup isifanyike maana wananchi washamaliza burudani yote. Hivi tutarajie kuona nini kingine kutoka kwa kina Messi, Neymar, Mane, De Bruyne...
Enzi niko sekondari nilikuwa napata marks za juu somo la English ila kuongea ilikuwa shida.
Sasa huyo kumwembe nimefuatilia makala zake kwenye mitandao na gazetini yuko vizuri.
Sababu inaonekana...
Mjumbe hauawi, nawajulisha viongozi wa Simba kuwa Namungo ikiwa na kocha msaidizi, beki wa zamani wa Yanga anayefanana sana na Karim Mandonga mtu kazi, Shadrack Nsajigwa maarufu kama Fuso ambaye...