Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

24 November 2022 Black Stars Vs Portugal match venue, Stadium 947 Sulley Muntari mchezaji nguli pia tajwa kimataifa wa zamani wa timu ya taifa ya Ghana maarufu kama Black Stars awatembelea...
0 Reactions
0 Replies
604 Views
Nimeona kwenye gazeti moja la leo uchaguzi wa Simba utafanyika February 15 2023, sijaona sababu ya msingi kwanini uchaguzi uwe mbali namna hiyo wakati jahazi limekwishazama. Waliyopanga uchaguzi...
0 Reactions
3 Replies
508 Views
Habari zenu wadau wa soka na mashabiki kwa ujumla hongera kwa yanga sport club kwa kushinda mechi yao ya mwisho na kukaa kileleni kwenye msimamo wa NBC premier league. Wakuu leo tuongelee...
5 Reactions
19 Replies
2K Views
Simba wana mpango wa kumsajili siza lobi manzoki, mchezaji wa Dalian Pro ya China, kwenye dirisha dogo la usajili linaloanza December 1, 2022. Ni jambo jema. Hata hivyo, huyu Manzoki toka...
5 Reactions
15 Replies
3K Views
Mashabiki wa Simba jiandaeni kisaikolojia, kwa maandalizi niliyoyashuhudia hapa Mbeya ponapona yenu ni sare. Nyie watu wanajua kufanya maandalizi ya mechi. Nasema hamtoki na "Nguvu Moja" yenu.
24 Reactions
44 Replies
4K Views
Super coach Abdallah Mubiru ana leseni ya uefa pro licence na caf daraja A..Alipokuwa anafundisha polisi Uganda alisifika kwa timu yake kucheza kandanda safi la pasi nyingi na soka la kuvutia...
6 Reactions
12 Replies
1K Views
Kocha gani Wewe muda Wote tu ni Kukenua Kenua Mimeno huku Timu yako ikiwa inabadilika mara kwa mara Kimfumo? Wenye Simba SC yetu na Mafia wa Soka la Bongo (Tanzania) tunajua ni Juhudi gani...
6 Reactions
37 Replies
3K Views
Huyu jamaa imefika wakati sasa ajiongeze kwa kujifunza fani nyingine maana mpira wa miguu umemshinda. Hana akili ya mpira na muda wote anaangalia chini. Hata akiachwa na goli wazi hana uwezo wa...
9 Reactions
80 Replies
5K Views
Ikitokea Simba wamepata matokeo mazuri dhidi ya Mbeya city, tutarajie mafuriko ya threads na posts za kumsifu Chama. Lkn naomba niwakumbushe, kila shabiki wa soka anamfaham Chama. Hakuna haja ya...
4 Reactions
42 Replies
2K Views
Nina shauku sana ya kwenda kuwaangalia Wajerumani wakiwa wanamfunga mtu! Hii mechi kali na muhimu inaanza saa ngapi wadau?
0 Reactions
27 Replies
3K Views
Kama kichwa kinavyojieleza wakuu uyu jamaa uwa namkubal sana sasa nahtaj kujua ni vipi ntapata channel ambayo anatangaza yeye. Namkubali sana peter druly hasa ile misemo yake. Nmejaribu...
0 Reactions
2 Replies
583 Views
Imezuka kasumba kwa washabiki wengi kuwa timu zinanunua mechi. Ukichunguza Kwa makini utaona kundi kubwa la washabiki wa Simba ndio wanaongoza kulalamika. Timu inayolalamika ni Yanga ila...
25 Reactions
57 Replies
3K Views
Aliiongoza Coastal Union kucheza fainali ya kombe la FA. Inshaallah mwenyezi Mungu muweza wa yote akimpatia uzima na afya njema siku ya tarehe 16/10/2022 ataiongoza miamba ya soka ya Afrika...
6 Reactions
23 Replies
2K Views
Kwa taarifa zilizopo Ni Kwamba Simba akipoteza point 3 tu, au akidroo mechi 2 na kupoteza points 4, Basi rasmi atapewa mkono wa burihani. Kwa Sasa kiuhalisia Yanga anamuacha Simba point 5 ,hiyo...
2 Reactions
9 Replies
782 Views
Rejea kichwa Cha taarifa, Azam kisimbusi wameitoa tbc 1 kwenye orodha ya free local channels, hakuna sababu zilizotolewa isipokuwa watu wanahisi ni sababu za kuonyesha kombe la Dunia, je, inaweza...
11 Reactions
80 Replies
8K Views
Simba ya sasa ni bora, na tuseme kuwa Yanga ikajipange. magoli kama yale ni kweli Manula anaugonjwa nayo, hata Morrison alimfunga sana Manula kwa mtindo ule, lakini haindoi uhalisia kuwa bado ni...
21 Reactions
86 Replies
5K Views
Tuache ushabiki, kuingia kwa Habib Kyombo kumeipa ahueni sana Simba. Kyombo alikuwa anakwenda angani na mabeki wa Yanga. Bangala na Job na aliweza kushinda mipira yote ya juu, alikuwa na uwezo wa...
17 Reactions
69 Replies
4K Views
Mwekezaji wa Simba SC Mo Dewji usichokijua pamoja na utajiri wako ni kuwa 90% ya Wajumbe wa Bodi ya Simba SC ni wapigaji watupu na wengi wao ni wasaliti kutokana na kutumika kwao kutoka upande wa...
5 Reactions
32 Replies
2K Views
Mpira umetembea leo kule Tunis kwasababu ya simu aliyopiga Kocha kupata ushauri kutoka kwa Guardiola Mnene. Nampongeza Kocha kwa uamuzi wa busara.
3 Reactions
20 Replies
2K Views
Hii timu nilikuwa siielewi kwanini imefika hapa. Mechi iliyopita nilikuwa taifa pale, walikuwa wamejaza mabeki timu nzima ili wasifungwe. Na hapa kwao leo sikuona walichocheza, timu inashindwa...
7 Reactions
24 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…