Simba yatangaza uchaguzi Februari 15, 2022, tutakuwa tumeshashuka daraja tayari

Mwishokambi

JF-Expert Member
Nov 23, 2020
303
1,158
Nimeona kwenye gazeti moja la leo uchaguzi wa Simba utafanyika February 15 2023, sijaona sababu ya msingi kwanini uchaguzi uwe mbali namna hiyo wakati jahazi limekwishazama.

Waliyopanga uchaguzi uwe Februari wana lengo gani? Je, Simba iwe imeshuka daraja kutokana na matokeo mabovu? Simba iendelee kuwa mdebwedo kwenye makundi Ligi ya Mabingwa.

Kwanini tufike had Februari 2023? Kwanini uchaguzi usiwe Januari, 2023? Februari ni mbali sana, hata mkimsajili Ronaldo hamtarudi tena kuiongoza Simba.

Sent from my SM-F916B using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom