Uganda kujiondoa katika Fainali za CHAN 2023 kutokana na ukata

Lady Whistledown

JF-Expert Member
Aug 2, 2021
1,026
1,622
Shirikisho la Vyama vya Soka limetangaza Uganda kujiondoa kwenye michuano ya Mataifa ya Afrika (CHAN) kwa sababu ya mzozo kuhusu ufadhili wa Serikali

Rais wa Shirikisho hilo, Moses Hassim Magogo, ambaye pia ni mjumbe wa Bunge la Uganda, alisema hawana chaguo jingine ila kujiondoa kwenye fainali za CHAN kwa sababu Wizara ya Fedha haijatoa pesa kama ilivyoidhinishwa na Bunge

Fainali hizo zinatarajiwa kuanza Januari 2023, nchini Algeria zikijumisha timu 17 za Libya, Ethiopia, Msumbiji, DR Congo, Ivory Coast, Senegal, Morocco, Sudan, Madagascar, Ghana, Mali, Angola, Mauritania, Cameroon, Congo, na Niger.

.................


Championships (CHAN) because of a row over government funding, the president of the Federation of Uganda Football Associations has announced.

Moses Hassim Magogo, who is also a member of the Ugandan parliament, said pulling out of the tournament - which is scheduled to begin in Algeria on 13 January - was "sad".

"We are left with no further option but to withdraw from CHAN finals because the [Ministry of Finance] has not provided the funds as appropriated by parliament," he wrote on Twitter.

"The sanctions to Uganda will affect the future if we don't take the hard decision now. Sorry for the players and coaches who qualified the team but it is the moment to face the reality."

Next year's CHAN is due to feature 18 teams so if Uganda do pull out it will leave organisers the Confederation of African Football (Caf) needing a replacement at short notice - or with 17 teams in an already unusual format.

Caf has been contacted for comment.


Source: BBC
 
Taifa Star inaweza kupewa nafasi ya Uganda Cranes kwavile kwenye Mechi ya mwisho ya mtoano ndio waliowatoa kwenye Qualification. Kama sikosei Mechi dhidi ya uganda Cranes ilikuwa Mechi ya mwisho kwa kocha poulsen.

Nipo tayari kukosolewa

Nawasilisha
 
Taifa Star inaweza kupewa nafasi ya Uganda Cranes kwavile kwenye Mechi ya mwisho ya mtoano ndio waliowatoa kwenye Qualification. Kama sikosei Mechi dhidi ya uganda Cranes ilikuwa Mechi ya mwisho kwa kocha poulsen.

Nipo tayari kukosolewa

Nawasilisha
Tukitaka kutia aibubya mwaka tukubali kuingia mkenge huu.
 
Back
Top Bottom