Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Yule mchezaji na kocha mwenye bahati zaidi duniani anaichukua timu ya taifa ya Ufaransa kama kocha kuanzia January 2023. Ninatarajia ataenda kubeba Euro 2024 na kombe la dunia mwaka 2026...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Huyu ndiye golikipa wa timu ya Taifa ya Argentina ambaye mchambuzi maandazi wa soka TBC alidai anaidakia timu ya Sevilla la liga Hispania. Ukweli ni kuwa ni golikipa wa Aston Villa EPL UIngereza...
1 Reactions
12 Replies
3K Views
Afrika itabaki kuwa Afrika tu, hususani hapa Tanzania. Nimefuatilia katika social media's za bongo, aise ni kama vile walikua wanatafuta vijisababu kutoka kwa hawa ndugu zetu Waarabu (Morocco) ili...
4 Reactions
47 Replies
2K Views
Rais huyo wa zamani wa FIFA, amedai kuwa hakutaka michuano hiyo ya 2022 ichezwe Qatar kwa kuwa ni nchi ndogo kuweza kusimamia shughuli hiyo kubwa ya soka. Blatter (86) ambaye alikuwa Rais wa FIFA...
0 Reactions
23 Replies
4K Views
Habari, Ikiwa ni dakika 1 kabla ya mechi kati ya Qatar na Ecuador kuanza natabiri Argentina kuchukua kombe mwaka huu, na wewe unatabiri timu gani kuchukua ubingwa?
3 Reactions
13 Replies
1K Views
Habarani Wapenda Michezo. Naomba niseme mapema mimi ni shabiki wa Ronaldo the Boy from Madeira CR7 shabiki Kufakufa. Hio haimanishi siwez kusema mazuri ya Messi NO, MESSI is so F*ck*ng Talented...
4 Reactions
61 Replies
4K Views
Team Messi Kesho tunanyanyua makwapa kwa mara ya Kwanza kabisa tukisherekea kombe la Dunia. Hapo Ufaransa kashaleta ufala wake, tumepita naye 3:1, dakika 6 za nyongeza zinaisha Mbappe haamini...
5 Reactions
40 Replies
2K Views
Kuoneshwa kwa Kombe la Dunia na kufuatiliwa kwa karibu na watu wote imesababisha kupunguza ladha kwa soka letu la kivyetu vyetu. Mood tuliyo nayo kwa walio wengi sio tena kwa Chama wala Azizi K...
0 Reactions
1 Replies
401 Views
Mshambuliaji huyo amekataa ofa ya Rais wa Ufaransa, Emmanuel Macron ambaye ametoa ndege yake binafsi kwa wachezaji wote majeruhi wa taifa hilo kwa ajili ya kwenda Qatar kushuhudia mchezo wa...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Alichokifanya huyu mwamba kwenye kombe la dunia haswa Jana ni tofauti na alivyokuwa Man United, nahisi alikuwa anatufanyia kusudi, mpira wa Jana ndo wa di Maria tulikua tukiujua.
3 Reactions
13 Replies
2K Views
Tang Barbra atangaze kuachia ngazi Simba na leo ameonekana Qatar akishuhudia final ni ishara tosha kuwa Ceo huyo alikuwa akiizamisha Simba, Simba inapiga mpira mwingi sana jamani, wachezaji...
2 Reactions
24 Replies
2K Views
guest-1786390423
Kwanza kabisa nimefurahi Messi kuchukua kombe la dunia. Isingekuwa haki kama huyu mwamba angestaafu bila kuchukua hii ndoo. Poleni timu Ronaldo, mimi nafurahi nikiona mnaumia. Niende kwenye mada...
3 Reactions
41 Replies
3K Views
Ni kama jambo jepesi lakini limebeba maana nzito ya kiulimwengu! Lengo kuu la kuiteka dunia kwa kuifanya dunia kuwaza pamoja, kwa muda mmoja na jicho la pamoja si jambo jepesi hata kidogo! Hii ni...
3 Reactions
25 Replies
2K Views
Jana mchana niliposema Waafrika tulimtuma Kolo Muani kuwapiga kibao Morocco kwa kusema wao sio waafrika na leo tunamtuma Kylian Mbappe kuwapiga ngumi Argentina ilionekana ni kama jambo jepesi...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Tetesi za usajili kwa upande wa Simba zimetawaliwa na ujio wa Manzoki. Dirisha la usajili lililopita watu wa Simba waliongea sana na wengine kuaminisha ulimwengu kuwa the deal was done. Matokeo...
1 Reactions
16 Replies
1K Views
Mfalme wa Morocco alikuwa rafiki mkubwa wa Shujaa Magufuli, kwa sababu ya urafiki wao tumejengewa msikiti wa Kinondoni na tumeahidiwa kujengewa uwanja wa mpira jijini Dodoma. Tunawapongeza sana...
4 Reactions
9 Replies
2K Views
Sijui nini kimemfanya kocha wa Argentina kumtoa Angel Dimaria mapema vile wakati yeye ndo alikuwa chachu kwa matokeo ya Argentina. Baada ya kumtoa tu Ufaranza wakaanza kufunguka na hatimae...
5 Reactions
29 Replies
2K Views
#FIFAWorldCup2022: Ni Desemba 18, 2022 Dunia itashuhudia Fainali za Kombe la Dunia lililoanza Nov 20, 2022 huko Qatar kwa kuzileta pamoja Timu za Mataifa 32 zilizomenyana kwa jumla ya Mechi 64...
2 Reactions
33 Replies
3K Views
Wakati tukiiendelea kusubiri mtanange wa kuhitimisha kombe la Dunia leo jioni Kati ya ARGENTINA vs Ufaransa Kuna jambo sio zuri Mchezaji wa Ufaransa na Real Madri, Benzema aliomba ashiriki...
9 Reactions
90 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…